Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dkt. Hussein Ali Mwinyi akimuapisha Mhe. Juma Makungu Juma kuwa Naibu Waziri wa Ardhi na Maendeleo ya Makaazi Zanzibar na (kushoto kwa Rais) ni Katibu wa Baraza la Mapinduzi na Katibu Mkuu Kiongozi, Mhandisi Zena Ahmed Said, hafla hiyo ya kuapishwa ilifanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar leo 5-8-2022
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dkt. Hussein Ali Mwinyi akimuapisha Masoud Hussein Iddi kuwa Katibu Mkuu Ofisi ya Rais- Ikulu Zanzibar, na (kushoto kwa Rais) ni Katibu wa Baraza la Mapinduzi na Katibu Mkuu Kiongozi, Mhandisi Zena Ahmed Said, hafla hiyo ilifanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar leo 5-8-2022
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dkt. Hussein Ali Mwinyi (hayupo pichani) akimuapisha Dkt. Maua Abeid Daftari kuwa Kamishna wa Tume ya Maadili ya Viongozi wa Umma Zanzibar na (kushoto kwa Rais) ni Katibu wa Baraza la Mapinduzi na Katibu Mkuu Kiongozi, Mhandisi Zena Ahmed Said, hafla hiyo ya kuapishwa ilifanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar leo 5-8-2022.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dkt. Hussein Ali Mwinyi akimuapisha Rashid Ali Salim kuwa Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Biashara na Maendeleo ya Viwanda Zanzibar na (kushoto kwa Rais) ni Katibu wa Baraza la Mapinduzi na Katibu Mkuu Kiongozi, Mhandisi Zena Ahmed Said, hafla hiyo ya kuapishwa ilifanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar leo 5-8-2022.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dkt. Hussein Ali Mwinyi akimuapisha Rajab Yussuf Khamis Mkasaba kuwa Mkuu wa Wilaya ya Kusini Unguja na (kushoto kwa Rais) ni Katibu wa Baraza la Mapinduzi na Katibu Mkuu Kiongozi, Mhandisi Zena Ahmed Said, hafla hiyo ya kuapishwa ilifanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar leo 5-8-2022.