Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Mhe. Dkt. Hussein Ali Mwinyi na Mkewe Mama Mariam Mwinyi wakisalimiana na viongozi wa Serikali; Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Katiba, Sheria,Utumishi na Utawala Bora.Mhe Haroun Ali Suleiman, Rais Mstaaf wa Zanzibar.Mhe Dk.Amani Karume, Rais Mstaaf wa Zanzibar Mhe.Dk.Ali Mohamed Shein, Jaji Mkuu wa Tanzania Mhe. Prof Ibrahim Hamis Juma na Jaji wa Mahkama ya Rufaa Tanzania.Mhe Omar Othman Makungu, alipowasili katika viwanja vya Jengo jipya la Mahkama Kuu Zanzibar Tungu, wakati wa hafla ya ufunguzi wa jengo hilo ikiwa ni shamrashamra za kuadhimisha Miaka 58 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Mhe. Dkt. Hussein Ali Mwinyi akiondoa kitambaa na Kaimu Jaji Mkuu wa Zanzibar, Mhe. Khamis Ramadhan, kuashiria kulifungua jengo jipya la Mahakama Kuu Zanzibar Tunguu, Wilaya ya Kati Mkoa wa Kusini Unguja ikiwa ni Shamrashamra za kusherehekea maadhimisho ya Miaka 58 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar na kulia kwa Rais ni Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Katiba, Sheria, Utumishi na Utawala Bora Zanzibar, Mhe. Haroun Ali Suleiman na Mke wa Rais wa Zanzibar Mama Mariam Mwinyi.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Mhe. Dkt. Hussein Ali Mwinyi akikata utepe kuashiria kulifungua jengo jipya la Mahakama Kuu Zanzibar Tunguu Wilaya ya Kati Mkoa wa Kusini Unguja ikiwa ni shamrashamra za kusherehekea maadhimisho ya Miaka 58 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar na kulia kwa Rais ni Rais Mstaafu wa Zanzibar Awamu ya Saba, Mhe. Ali Mohamed Shein, Kaimu Jaji Mkuu wa Zanzibar, Mhe. Khamis Ramadhan Abdalla na Katibu wa Baraza la Mapinduzi na Katibu Mkuu Kiongozi, Mhandisi Zena Ahmed Said na kushoto kwa Rais ni Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Katiba, Sheria, Utumishi na Utawala Bora Zanzibar, Mhe. Haroun Ali Suleiman, Mke wa Rais wa Zanzibar Mama Mariam Mwinyi na Rais Mstaafu wa Zanzibar Awamu ya Sita Mhe. Dkt. Amani Karume.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Mhe. Dkt. Hussein Ali Mwinyi akimsikiliza Mhandisi wa Mahakama Kuu Zanzibar, Mussa Ali Hamad, akitoa maelezo ya ujenzi wa jengo hilo wakati wa hafla ya ufunguzi wa jengo jipya la Mahakama Kuu Zanzibar, ikiwa ni shamrashamra za kusherehekea Miaka 58 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar na kushoto kwa Rais ni Mke wa Rais wa Zanzibar, Mama Mariam Mwinyi na kulia kwa Rais ni Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais Katiba, Sheria, Utumishi na Utawala Bora Zanzibar, Mhe. Haroun Ali Suleiman, Rais Mstaafu wa Zanzibar Awamu ya Saba, Mhe. Dkt. Ali Mohamed Shein na Rais Mstaafu wa Zanzibar Awamu ya Sita, Mhe. Dkt. Amani Karume
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Mhe. Dkt. Hussein Ali Mwinyi akimsikiliza Mrajisi wa Mahakama Kuu Zanzibar, Mhe. Mohamed Ali Shein, akitoa maelezo wakati wa kutembelea jengo hilo baada ya ufunguzi wake, ikiwa ni shamrashamra za kusherehekea Miaka 58 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar na kushoto kwa Rais ni Mke wa Rais wa Zanzibar, Mama Mariam Mwinyi na kulia kwa Rais ni Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais Katiba, Sheria, Utumishi na Utawala Bora Zanzibar, Mhe. Haroun Ali Suleiman na Mkuu wa Mkoa wa Kusini, Mhe. Rashid Hadidi Rashid.