Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dkt. Hussein Ali Mwinyi (katikati) akisisitiza jambo leo wakati alipokuwa na mazungumzo na Waziri Mkuu Mstaafu wa Uingereza, Mhe. Tony Blair alipofika Ikulu Jijini Zanzibar kwa mazungumzo akiwa na ujumbe wake
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dkt. Hussein Ali Mwinyi (kulia) akiaagana na mgeni wake Waziri Mkuu Mstaafu wa Uingereza, Mhe. Tony Blair baada ya mazungumzo yao leo alipofika Ikulu Jijini Zanzibar akiwa na ujumbe wake.