Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Mhe. Dkt. Hussein Ali Mwinyi (katikati) akimsikiliza Mwakilishi Mkaazi wa Benki ya Dunia hapa Tanzania ambae pia anawakilisha Malawi, Zambia na Zimbabwe, Bw. Nathan M. Belete (wa pili kushoto) alipofika Ikulu Jijini Zanzibar leo wakiwepo na Uongozi wa Wizara ya Fedha na Mipango (wa pili kulia) Waziri wa Fedha na Mipango, Mhe. Dkt. Saada Mkuya Salum na katibu Mkuu, Dkt. Juma Malik Akil.Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Mhe. Dkt. Hussein Ali Mwinyi (kulia) akizungumza na Mwakilishi Mkaazi wa Benki ya Dunia hapa Tanzania ambae pia anawakilisha Malawi, Zambia na Zimbabwe, Bw. Nathan M. Belete , Bw. Nathan M. Belete (kushoto) alipofika Ikulu Jijini Zanzibar leo.Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Mhe. Dkt. Hussein Ali Mwinyi (kulia) akimsikiliza Mwakilishi Mkaazi wa Benki ya Dunia hapa Tanzania ambae pia anawakilisha Malawi, Zambia na Zimbabwe, Bw. Nathan M. Belete (wa pili kulia) alipofika Ikulu Jijini Zanzibar leo wakiwepo na Uongozi wa Wizara ya Fedha na Mipango (kulia) Waziri wa Fedha na Mipango, Mhe. Dkt. Saada Mkuya Salum Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Mhe. Dkt. Hussein Ali Mwinyi (kulia) akiagana na Mgeni wake Mwakilishi Mkaazi wa Benki ya Dunia hapa Tanzania ambae pia anawakilisha Malawi, Zambia na Zimbabwe, Bw. Nathan M. Belete baada ya mazungumzo yao leo alipofika Ikulu Jijini Zanzibar
Giza
Mwanga
Chaguo Msingi
Ndogo
Kawaida
Kubwa