Rais Dkt. Mwinyi Afungua Mkutano wa Jumuiya ya Kimataifa ya Wachakata Nafaka
Oct 26, 2022
Na
Jacquiline Mrisho
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dkt. Hussein Ali Mwinyi (wa pili kulia) akiwa na Mwenyekiti wa Mkutano wa mwaka wa Jumuiya ya Kimataifa ya Wachakata nafaka (IAOM MEA 2022), Bw. Mounir Bakhresa (kulia) pamoja na Viongozi wengine akiwepo Waziri wa Biashara na Maendeleo ya Viwanda, Mhe. Omar Sais Shaabani (katikati) kabla ya kuufungua leo katika Hoteli ya Verde Mtoni Mkoa wa Mjini Magharibi. Tarehe 26/10/2022.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dkt. Hussein Ali Mwinyi akitoa hutuba yake katika Ufunguzi wa Mkutano wa mwaka wa Jumuiya ya Kimataifa ya Wachakata nafaka (IAOM MEA 2022) uliofanyika katika ukumbi wa Hoteli ya Verde Mtoni Mkoa wa Mjini Magharibi. Tarehe 26/10/2022.
Baadhi ya wadau wa Mkutano wa mwaka wa Jumuiya ya Kimataifa ya Wachakata nafaka (IAOM MEA 2022) wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dkt. Hussein Ali Mwinyi (hayupo pichani) katika ufunguzi wa mkutano huo uliofanyika katika ukumbi wa Hoteli ya Verde Mtoni Mkoa wa Mjini Magharibi. Tarehe 26/10/2022.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dkt. Hussein Ali Mwinyi (katikati) akipokea zawadi kutoka kwa Mwenyekiti wa Mkutano wa mwaka wa Jumuiya ya Kimataifa ya Wachakata nafaka (IAOM MEA 2022), Bw. Mounir Bakhresa (kulia) mara baada ya kuufungua mkutano huo uliofanyika leo katika ukumbi wa Hoteli ya Verde Mtoni Mkoa wa Mjini Magharibi, (kushoto) ni Mkurugenzi wa Kanda ya IAOM 2022, Bw. Ali Habaj. Tarehe 26/10/2022.