Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Blogu ya Idara ya Habari - MAELEZO

Rais Dkt. Magufuli Atunukiwa Shahada ya Heshima ya Udaktari wa Falsafa na Chuo Kikuu Dodoma
Nov 21, 2019
Na Msemaji Mkuu

[caption id="attachment_49169" align="aligncenter" width="1000"] Rasi Dkt. John Pombe Magufuli akifuatilia hafla ya Mahafali ya 10 ya Chuo Kikuu cha Dodoma (UDOM) alipohudhuria kwa ajili ya kutunukiwa Shahada ya Heshima ya Uzamivu (PhD) katika masuala ya Sayansi leo jijini Dodoma. Rais Magufuli ametunukiwa PhD hiyo ikiwa ni kutambua mchango wake katika maendeleo ya taifa ambapo anakuwa mtu wa tatu kutunukiwa Shahada hiyo na chuo hicho akitanguliwa na Rais Mstaafu wa Awamu ya Nne, Jakaya Mrisho Kikwete na Mzee Rashid Mfaume Kawawa. Kulia ni Meya wa Jiji la Dodoma Profesa Davis Mwamfupe[/caption] [caption id="attachment_49170" align="aligncenter" width="1000"] Mkuu wa Chuo Kikuu cha Dodoma (UDOM) na Rais Mstaafu wa Awamu ya Tatu, Benjamin Mkapa (kulia) akimuhudhurisha Shahada ya Heshima ya Uzamivu (PhD) katika Sayansi, Dkt. John Pombe Magufuli wakati wa Mahafali ya 10 ya Chuo Kikuu cha Dodoma leo tarehe 21/11/2019 jijini Dodoma.[/caption] [caption id="attachment_49171" align="aligncenter" width="1000"] Mkuu wa Chuo Kikuu cha Dodoma (UDOM) na Rais Mstaafu wa Awamu ya Tatu, Benjamin Mkapa (kulia) akimpongeza Rais Dkt. John Pombe Magufuli mara baada ya kumtunuku Shahada ya Heshima ya Uzamivu (PhD) katika Sayansi, wakati wa Mahafali ya 10 ya Chuo Kikuu cha Dodoma (UDOM) leo tarehe 21/11/2019 jijini Dodoma. Katikati ni Makamu Mkuu wa Chuo Kikuu cha Dodoma, Prof.Josephat Bee.[/caption] [caption id="attachment_49172" align="aligncenter" width="925"] Rais Dkt. John Pombe Magufuli akipokea Cheti cha Shahada ya Udaktari wa Falsafa (PhD) kutoka kwa Mkuu wa Chuo Kikuu cha Dodoma (UDOM) na Rais Mstaafu wa Awamu ya Tatu, Benjamin Mkapa mara baada ya kutunukiwa Shahada ya Heshima ya Uzamivu (PhD) katika Sayansia wakati wa Mahafali ya 10 ya chuo hicho leo tarehe 21/11/2019 jijini Dodoma. Rais Magufuli ametunukiwa PhD hiyo ikiwa ni kutambua mchango wake katika maendeleo ya nchi ambapo anakuwa mtu wa tatu kutunukiwa Shahada hiyo na UDOM akitanguliwa na Rais Mstaafu wa Awamu ya Nne, Jakaya Mrisho Kikwete na Mzee Rashid Mfaume Kawawa.[/caption] [caption id="attachment_49173" align="aligncenter" width="1000"] Rais Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza mara baada ya kutunukiwa Shahada ya heshima ya Udaktari wa Falsafa (Phd) katika wakati wa Mahafali ya 10 ya Chuo Kikuu cha Dodoma (UDOM) leo tarehe 21/11/2019 jijini Dodoma. Rais Magufuli ametunukiwa PhD hiyo ikiwa ni kutambua mchango wake katika maendeleo ya nchi ambapo anakuwa mtu wa tatu kutunukiwa Shahada ya heshima ya Uzamivu na chuo hicho akitanguliwa na Rais Mstaafu wa Awamu ya Nne, Jakaya Mrisho Kikwete na Mzee Rashid Mfaume Kawawa.[/caption] [caption id="attachment_49174" align="aligncenter" width="849"] Rais Dkt. John Pombe Magufuli (kulia) akifurahia jambo na Mkuu wa Chuo Kikuu cha Dodoma (UDOM) na Rais Mstaafu wa Awamu ya Tatu, Mhe.Benjamin Mkapa mara baada ya kutunukiwa Katika mahafali ya hayo Rais Dkt. John Pombe Magufuli ametunukiwa Shahada ya heshima ya Udaktari wa Falsafa (Phd) katika Sayansi ikiwa ni kutambua mchango wake katika kuleta maendeleo ya nchi.katika Sayansia wakati wa Mahafali ya 10 ya Chuo Kikuu cha Dodoma (UDOM) leo tarehe 21/11/2019 jijini Dodoma. Rais Magufuli ametunukiwa PhD hiyo ikiwa ni kutambua mchango wake katika maendeleo ya taifa ambapo anakuwa mtu wa tatu kutunukiwa digrii hiyo na chuo hicho akitanguliwa na Rais Mstaafu wa Awamu ya Nne, Jakaya Mrisho Kikwete na Mzee Rashid Mfaume Kawawa[/caption] [caption id="attachment_49175" align="aligncenter" width="1000"] Kutoka kulia ni Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa, Spika wa Bunge, Mhe. Job Ndugai, Waziri Mkuu Mstaafu John Malecela, Katibu Mkuu Kiongozi Balozi John Kijazi, Mke wa Rasi Msaafu wa Awamu ya Tatu Mama Anna Mkapa, Mke wa Waziri Mkuu, Mama Mary Majaliwa na Mke wa Rais Mama Janeth Magufuli wakifuatilia Mahafali ya 10 ya Chuo Kikuu cha Dodoma ambapo Rais Dkt. John Pombe Magufuli ametunukiwa Shahada ya Heshima ya Udaktari wa Falsafa (PhD) katika Sayansi leo tarehe 21/11/2019 jijini Dodoma.[/caption] [caption id="attachment_49176" align="aligncenter" width="1000"] Mke wa Rais Mama Janeth Magufuli akisoma wasifu wa Rais Dkt. John Pombe Magufuli katika kitabu cha Mahafali ya 10 ya Chuo Kikuu cha Dodoma wakati wasifu huo ukisomwa na Profesa Davis Mwamfupe (hayupo pichani) leo tarehe 21/11/2019 jijini Dodoma. Katika mahafali ya hayo Rais Dkt. John Pombe Magufuli ametunukiwa Shahada ya heshima ya Udaktari wa Falsafa (Phd) katika Sayansi ikiwa ni kutambua mchango wake katika kuleta maendeleo ya nchi.[/caption] [caption id="attachment_49177" align="aligncenter" width="1000"] Mke wa Rais Mama Janeth Magufuli akifurahia jambo na Mke wa Waziri Mkuu, Mama Mary Majaliwa (kulia) wakati wa hafla ya Mahafali ya 10 ya Chuo Kikuu cha Dodoma (UDOM) leo tarehe 21/11/2019 jijini Dodoma. Katika mahafali ya hayo Rais Dkt. John Pombe Magufuli ametunukiwa Shahada ya heshima ya Udaktari wa Falsafa (Phd) katika Sayansi ikiwa ni kutambua mchango wake katika kuleta maendeleo ya nchi.[/caption] [caption id="attachment_49178" align="aligncenter" width="1000"] Baadhi ya Wahitimu wa Chuo Kikuu cha Dodoma wakiwa katika mahafali ya 10 ya Chuo hicho leo tarehe 21/11/2019 jijini Dodoma. Katika mahafali ya hayo Rais Dkt. John Pombe Magufuli ametunukiwa Shahada ya heshima ya Udaktari wa Falsafa (Phd) katika Sayansi ikiwa ni kutambua mchango wake katika kuleta maendeleo ya nchi.[/caption] [caption id="attachment_49179" align="aligncenter" width="630"] Baadhi ya Viongozi mbalimbali wa Serikali wakifuatilia hafla ya Mahafali ya 10 ya Chuo Kikuu cha Dodoma (UDOM) leo tarehe 21/11/2019 jijini Dodoma. Katika mahafali ya hayo Rais Dkt. John Pombe Magufuli ametunukiwa Shahada ya heshima ya Udaktari wa Falsafa (Phd) katika Sayansi ikiwa ni kutambua mchango wake katika kuleta maendeleo ya nchi.[/caption] [caption id="attachment_49180" align="aligncenter" width="548"] Mkuu wa Majeshi Tanzania (CDF), Venance Mabeyo akisalimiana na Waziri wa Nishati, Dkt. Merdard Kalemani, Waziri wa Madini, Doto Biteko na Waziri wa Katiba na Sheria Balozi Agustine Mahiga walipokutana katika Mhafalai ya 10 ya Chuo Kikuu cha Dodoma (UDOM) leo tarehe 21/11/2019 jijini Dodoma. Katika mahafali ya hayo Rais Dkt. John Pombe Magufuli ametunukiwa Shahada ya heshima ya Udaktari wa Falsafa (Phd) katika Sayansi ikiwa ni kutambua mchango wake katika kuleta maendeleo ya nchi.[/caption] [caption id="attachment_49181" align="aligncenter" width="630"] Mkurugenzi wa Idara ya Habari – MAELEZO na Msemaji Mkuu wa Serikali,, Dkt. Hassan Abbasi akiteta jambo na Naibu Katibu Mkuu wa Ofisi ya Rais TAMISEMI, Godfrey Gerald Mweli walipokutana katika Mhafali ya 10 ya Chuo Kikuu cha Dodoma (UDOM) leo tarehe 21/11/2019 jijini Dodoma. Katika mahafali ya hayo Rais Dkt. John Pombe Magufuli ametunukiwa Shahada ya heshima ya Udaktari wa Falsafa (Phd) katika Sayansi ikiwa ni kutambua mchango wake katika kuleta maendeleo ya nchi.[/caption] [caption id="attachment_49182" align="aligncenter" width="630"] Mkurugenzi wa Idara ya Habari – MAELEZO na Msemaji Mkuu wa Serikali,, Dkt. Hassan Abbasi akiteta jambo na Mshauri wa Ubalozi wa Zimbabwe walipokutana katika Mhafali ya 10 ya Chuo Kikuu cha Dodoma (UDOM) leo tarehe 21/11/2019 jijini Dodoma. Katika mahafali ya hayo Rais Dkt. John Pombe Magufuli ametunukiwa Shahada ya heshima ya Udaktari wa Falsafa (PhD) katika Sayansi ikiwa ni kutambua mchango wake katika kuleta maendeleo ya nchi. (Picha na Idara ya Habari – MAELEZO)[/caption]

Mipangilio
Marekebisho ya Mandhari
Marekebisho ya Maandishi