[caption id="attachment_45110" align="aligncenter" width="1000"] Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiimba wimbo wa Taifa wakati wa Uzinduzi wa Hifadhi ya Taifa ya Burigi-Chato leo Mkoani[/caption] [caption id="attachment_45109" align="aligncenter" width="1000"] Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akikagua gwaride la Jeshi Usu wakati wa Uzinduzi wa Hifadhi ya Taifa ya Burigi-Chato leo Mkoani Geita.[/caption] [caption id="attachment_45108" align="aligncenter" width="1000"] Waziri wa Maliasili na Utalii Mhe. Dkt. Hamisi Kigwangalla akiwavisha vyeo vya Kuwa Makamishna wakuu wa Taasisi nne za TAWA, TANAPA, TFS na Mamlaka ya Ngorongoro.[/caption] [caption id="attachment_45107" align="aligncenter" width="1000"] Waziri wa Maliasili na Utalii Mhe. Dkt. Hamisi Kigwangalla akiongea wakati wa Uzinduzi wa Hifadhi ya Taifa ya Burigi-Chato leo Mkoani Geita ambapo alisema katika. Ikakati ya Wizard hiyo kuendeleza sekta ya Utalii, wameanzisha shughuli mbalimbali zinazoambatana na utalii ikiwemo kuanzisha utalii wa fukwe katika Ziwa Victoria.[/caption] [caption id="attachment_45111" align="aligncenter" width="1000"] Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiongea wakati wa Uzinduzi wa Hifadhi ya Taifa ya Burigi-Chato leo Mkoani Geita ambapo alieleza mipango ya Serikali ya kuendelea kukuza na Kuendeleza Sekta ya Utalii nichini[/caption] [caption id="attachment_45106" align="aligncenter" width="1000"] Waziri wa Maliasili na Utalii Mhe. Dkt. Hamisi Kigwangalla akimpa Zawadi Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli ya Sanamu ya Baba wa Taifa Hayati Mwalimu Julius Kambarage Nyerere wakati wa Uzinduzi wa Hifadhi ya Taifa ya Burigi-Chato leo Mkoani Geita.[/caption]