Rais Dkt.Magufuli Aongoza Kikao cha Baraza la Mawaziri Ikulu Jijini Dar es Salaam
Jun 26, 2017
Na
Msemaji Mkuu
[caption id="attachment_4433" align="aligncenter" width="750"] Picha mbalimbali zikimuonesha Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiongoza kikao cha Baraza la Mawaziri leo tarehe 26/06/2017 Ikulu jijini Dar es Salaam. PICHA NA IKULU[/caption]