[caption id="attachment_41179" align="aligncenter" width="750"] Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiongoza kikao cha Baraza la Mawaziri Ikulu jijini Dar es salaam leo Jumapili Machi 10, 2019. Kulia kwake ni Makamu wa Rais Mhe Samia Suluhu Hassan na Kushoto kwake ni Waziri Mkuu Mhe. Kassim Majaliwa.[/caption]