Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Blogu ya Idara ya Habari - MAELEZO

Rais. Dkt Magufuli Amekutana na Kufanya Mazungumzo na Rais Prof Mutharika
Apr 25, 2019
Na Msemaji Mkuu

[caption id="attachment_42411" align="aligncenter" width="750"] Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akiwa katika Mazungumzo na Rais wa Jamhuri ya Malawi Prof. Arthur Peter Mutharika pamoja na Mawaziri na Watendaji wa Serikali kabla ya Kusaini Mikataba ya Makubaliano ya Masuala mbalimbali yanayohusu Nchi zote mbili katika Ikulu ya Kamuzu iliyopo Jijini Lilongwe Malawi.Aprili 24, 2019.[/caption]   [caption id="attachment_42414" align="aligncenter" width="750"] Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akiwa katika Mazungumzo na Rais wa Jamhuri ya Malawi Prof. Arthur Peter Mutharika pamoja na Mawaziri na Watendaji wa Serikali kabla ya Kusaini Mikataba ya Makubaliano ya Masuala mbalimbali yanayohusu Nchi zote mbili katika Ikulu ya Kamuzu iliyopo Jijini Lilongwe Malawi.Aprili 24, 2019.[/caption]   [caption id="attachment_42416" align="aligncenter" width="750"] Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akiwa katika Mazungumzo na Rais wa Jamhuri ya Malawi Prof. Arthur Peter Mutharika pamoja na Mawaziri na Watendaji wa Serikali kabla ya Kusaini Mikataba ya Makubaliano ya Masuala mbalimbali yanayohusu Nchi zote mbili katika Ikulu ya Kamuzu iliyopo Jijini Lilongwe Malawi.Aprili 24, 2019.[/caption]   [caption id="attachment_42418" align="aligncenter" width="750"] Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akiwa katika Mazungumzo na Rais wa Jamhuri ya Malawi Prof. Arthur Peter Mutharika pamoja na Mawaziri na Watendaji wa Serikali kabla ya Kusaini Mikataba ya Makubaliano ya Masuala mbalimbali yanayohusu Nchi zote mbili katika Ikulu ya Kamuzu iliyopo Jijini Lilongwe Malawi.Aprili 24, 2019.[/caption] [caption id="attachment_42419" align="aligncenter" width="750"] Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akiwa na mwenyeji wake Rais wa Malawi Prof. Arthur Peter Mutharika wakishuhudia Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki wa Tanzania Prof. John Kabudi na Waziri wa Mambo ya Nje wa Malawi Dkt.Lois Fabiano wakiweka Sahihi kwenye Mikataba ya Makubaliano katika Ikulu ya Kamuzu iliyopo Jijini Lilongwe Malawi.Aprili 24, 2019.[/caption] [caption id="attachment_42420" align="aligncenter" width="750"] Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akimshukuru mwenyeji wake Rais wa Malawi Prof. Arthur Peter Mutharika kwa Zawadi aliyompatia mara baada ya Mazungumzo ya Kiserikali katika Ikulu ya Kamuzu iliyopo Jijini Lilongwe Nchini Malawi.Aprili 24, 2019.[/caption] [caption id="attachment_42421" align="aligncenter" width="750"] Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akimkabidhi zawadi ya Picha ya Twiga na Mlima Kilimanjaro Rais wa Malawi Prof. Arthur Peter Mutharika mara baada ya Mazungumzo ya Kiserikali katika Ikulu ya Kamuzu iliyopo Jijini Lilongwe Nchini Malawi.Aprili 24, 2019.[/caption] [caption id="attachment_42422" align="aligncenter" width="750"] Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akimkabidhi zawadi ya Kinyago Rais wa Malawi Prof. Arthur Peter Mutharika mara baada ya Mazungumzo ya Kiserikali katika Ikulu ya Kamuzu iliyopo Jijini Lilongwe Nchini Malawi.Aprili 24, 2019.[/caption] [caption id="attachment_42423" align="aligncenter" width="750"] Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akipeana mkono na Rais wa Malawi Prof. Arthur Peter Mutharika mara baada ya kumkabidhi zawadi ya kinyago katika Ikulu ya Kamuzu iliyopo Jijini Lilongwe Nchini Malawi.Aprili 24, 2019.[/caption] [caption id="attachment_42424" align="aligncenter" width="750"] Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akiwa katika picha ya pamoja na mwenyeji wake Rais wa Malawi Prof. Arthur Peter Mutharika, Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki wa Tanzania Prof. John Kabudi, Waziri wa Mambo ya Nje wa Malawi Dkt.Lois Fabiano pamoja na Mawaziri na Viongozi wengine wa Sreikali ya Tanzania na Malawi katika Ikulu ya Kamuzu iliyopo Jijini Lilongwe Malawi.Aprili 24, 2019. Picha na Ikulu[/caption]

Mipangilio
Marekebisho ya Mandhari
Marekebisho ya Maandishi