Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Blogu ya Idara ya Habari - MAELEZO

Rais Dkt Magufuli Akutana na Wakimbiza Mwenge wa Uhuru Mwaka 2018 Ikulu Jijini Dar es Salaam Leo
Oct 15, 2018
Na Msemaji Mkuu

[caption id="attachment_36811" align="aligncenter" width="750"] Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akipokea taarifa kutoka kwa Waziri Mkuu Mhe. Kassim Majaliwa na Waziri katika Ofisi ya Waziri Mkuu anayeshughulikia Sera, Bunge, Kazi, Vijana, Ajira na Walemavu Mhe. Jenista Mhagama walioongozana na wakimbiza Mwenge wa Uhuru mwaka huu wa 2018 alipokutana na kufanya nao mazungumzo Ikulu jijini Dar es salaam leo Oktoba 15, 2018[/caption] [caption id="attachment_36812" align="aligncenter" width="750"] Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwa katika picha ya pamoja na Waziri Mkuu Mhe. Kassim Majaliwa na Waziri katika Ofisi ya Waziri Mkuu anayeshughulikia Sera, Bunge, Kazi, Vijana, Ajira na Walemavu Mhe. Jenista Mhagama pamoja na wakimbiza Mwenge wa Uhuru mwaka huu wa 2018 alipokutana na kufanya nao mazungumzo Ikulu jijini Dar es salaam leo Oktoba 15, 2018[/caption]

Mipangilio
Marekebisho ya Mandhari
Marekebisho ya Maandishi