Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Blogu ya Idara ya Habari - MAELEZO

Rais Magufuli Akutana na Wageni Ikulu Jijini Dar Es Salaam
Dec 05, 2017
Na Msemaji Mkuu

[caption id="attachment_24150" align="aligncenter" width="750"] Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiagana na Balozi wa Umoja wa Falme za Kiarabu UAE Abdullah Ibrahim Al-Suwaidi aliyeambatana na Ujumbe wake Ikulu jijini Dar es Salaam.[/caption] [caption id="attachment_24151" align="aligncenter" width="750"] Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwa katika picha ya pamoja na Balozi wa Umoja wa Falme za Kiarabu UAE Abdullah Ibrahim Al-Suwaidi wa pili kutoka (kushoto) aliyeambatana na Ujumbe wake Ikulu jijini Dar es Salaam. Wengine katika picha ni Waziri wa mambo ya Nje Balozi Dkt. Augustine Mahiga na Balozi Zuhura Bundala wa kwanza (kulia)[/caption] [caption id="attachment_24152" align="aligncenter" width="750"] Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akisalimiana na Rais wa Kampuni ya Total Momar Nguer mara baada ya kuwasili Ikulu pamoja na ujumbe wake.[/caption] [caption id="attachment_24153" align="aligncenter" width="750"] Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiagana na Rais wa Kampuni ya Total Momar Nguer mara baada ya kamaliza mazungumzo yao Ikulu jijini Dar es Salaam.[/caption] [caption id="attachment_24154" align="aligncenter" width="750"] Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwa katika picha ya pamoja na Rais wa Kampuni ya Total Momar Nguer wa tatu kutoka (kushoto ) aliyeambatana na ujumbe wake mara baada ya kamaliza mazungumzo yao Ikulu jijini Dar es Salaam. Wengine katika picha ni Waziri wa mambo ya Nje Balozi Dkt. Augustine Mahiga, Waziri wa Nishati Dkt. Medard Kalemani, Waziri wa Viwanda na Biashara Charles Mwijage pamoja na Balozi Zuhura Bundala wa kwanza (kulia). PICHA NA IKULU[/caption]

Mipangilio
Marekebisho ya Mandhari
Marekebisho ya Maandishi