Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Blogu ya Idara ya Habari - MAELEZO

Rais Dkt Magufuli Akutana na Viongozi wa Jumuiya ya Kikristo Tanzania
Aug 07, 2018
Na Msemaji Mkuu

[caption id="attachment_34103" align="aligncenter" width="750"] Rais wa Jamhuri ya Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akisalimiana na Mwenyekiti wa Jumuiya ya Kikristo Tanzania (CCT) ambaye pia ni Askofu Mkuu wa Kanisa la Moravian Tanzania Jimbo la Kusini Magharibi, Alinikisya Cheyo, aliyeongoza ujumbe wa viongozi wapya wa Jumuiya hiyo kumtembelea na kujitambulisha kwake Ikulu Jijini Dar es Salaam.[/caption] [caption id="attachment_34104" align="aligncenter" width="750"] Rais wa Jamhuri ya Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akisalimiana na Makamu wa Kwanza wa Mwenyekiti wa Jumuiya ya Kikristo Tanzania (CCT) Dkt. Frederick Shayowakati ujumbe wa viongozi wakuu wa Jumuiya hiyo ulipomtembelea na kujitambulisha kwake Ikulu Jijini Dar es Salaam leo Agosti 7, 2018[/caption] [caption id="attachment_34105" align="aligncenter" width="750"] Rais wa Jamhuri ya Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akisalimiana na Makamu wa Pili wa Mwenyekiti wa Jumuiya ya Kikristo Tanzania (CCT), Dkt. Jacob Chimeleja, wakati ujumbe wa viongozi wakuu wa Jumuiya hiyo ulipomtembelea na kujitambulisha kwake Ikulu jijini Dar es Salaam leo Agosti 7, 2018.[/caption] [caption id="attachment_34106" align="aligncenter" width="750"] Rais wa Jamhuri ya Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwa watika mazungumzo na Mwenyekiti wa Jumuiya ya Kikristo Tanzania (CCT) ambaye pia ni Askofu Mkuu wa Kanisa la Moravian Tanzania, Alinikisya Cheyo, Makamu Mwenyekiti wa Kwanza wa Jumuiya hiyo, Dkt. Frederick Cheyo, Makamu wa Pili wa Mwenyekiti, Dkt Jacob Chimeleje na Katibu Mkuu wa CCT, Canon Moses Matonya ujumbe huo viongozi wapya wa jumuiya hiyo ulipomtembelea na kujitambulisha kwake Ikulu jijini Dar es Salaam leo Agosti 7, 2018.[/caption] [caption id="attachment_34107" align="aligncenter" width="750"] Rais wa Jamhuri ya Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwa katika sala na Mwenyekiti wa Jumuiya ya Kikristo Tanzania (CCT) ambaye pia ni Askofu Mkuu wa Kanisa la Moravian Tanzania, Alinikisya Cheyo, Makamu Mwenyekiti wa Kwanza wa Jumuiya hiyo Dkt. Frederick Cheyo, Makamu wa Pili wa Mwenyekiti Dkt Jacob Chimeleje na Katibu Mkuu wa CCT, Canon Moses Matonya ujumbe wa viongozi hao ulipomtembelea na kujitambulisha kwake Ikulu jijini Dar es Salaam leo Agosti 7, 2018.[/caption] [caption id="attachment_34109" align="aligncenter" width="750"] Rais wa Jamhuri ya Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwasindikiza Mwenyekiti wa Jumuiya ya Kikristo Tanzania (CCT) ambaye pia ni Askofu Mkuu wa Kanisa la Moravian Tanzania, Alinikisya Cheyo, Makamu Mwenyekiti wa Kwanza wa Jumuiya hiyo, Dkt. Frederick Cheyo, Makamu wa Pili wa Mwenyekiti, Dkt Jacob Chimeleje na Katibu Mkuu wa CCT, Canon Moses Matonya baada ya ujumbe wa viongozi hao kumtembelea na kujitambulisha kwake Ikulu jijini Dar es Salaam leo Agosti 7, 2018.[/caption] [caption id="attachment_34110" align="aligncenter" width="750"] Rais wa Jamhuri ya Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwa na Mwenyekiti wa Jumuiya ya Kikristo Tanzania (CCT) ambaye pia ni Askofu Mkuu wa Kanisa la Moravian Tanzania, Alinikisya Cheyo, Makamu Mwenyekiti wa Kwanza wa Jumuiya hiyo Dkt. Frederick Cheyo, Makamu wa Pili wa Mwenyekiti Dkt Jacob Chimeleje na Katibu Mkuu wa CCT Canon Moses Matonya baada ya ujumbe wa viongozi hao kumtembelea na kujitambulisha kwake Ikulu jijini Dar es salaam leo Agosti 7, 2018. (Picha na IKULU)[/caption]

Mipangilio
Marekebisho ya Mandhari
Marekebisho ya Maandishi