[caption id="attachment_18292" align="aligncenter" width="750"] Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akisalimiana na Seneta James Inhofe wa Baraza la Marekani na ujumbe wake walipomtembelea na kufanya naye mazungumzo Ikulu jijini Dar es Salaam.[/caption] [caption id="attachment_18295" align="aligncenter" width="750"] Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akisalimiana na Kaimu Balozi wa Marekani nchini Mhe. Inmi Patterson aliyeongozana na Seneta James Inhofe wa Baraza la Marekani na ujumbe wake walipomtembelea na kufanya naye mazungumzo Ikulu jijini Dar es Salaam.[/caption] [caption id="attachment_18298" align="aligncenter" width="750"] Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiteta jambo na Seneta James Inhofe wa Baraza la Marekani na ujumbe wake walipomtembelea na kufanya naye mazungumzo Ikulu jijini Dar es Salaam.[/caption] [caption id="attachment_18301" align="aligncenter" width="750"] Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiteta jambo na Seneta James Inhofe wa Baraza la Marekani na ujumbe wake walipomtembelea na kufanya naye mazungumzo Ikulu jijini Dar es Salaam.[/caption] [caption id="attachment_18304" align="aligncenter" width="683"] Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akimsindikiza Seneta James Inhofe wa Baraza la Marekani baada ya kufanya naye mazungumzo na ujumbe wake Ikulu jijini Dar es Salaam.[/caption] [caption id="attachment_18307" align="aligncenter" width="750"] Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli, Waziri wa Viwanda Biashara na Uwekezaji Mhe. Charles Mwijage, Waziri wa Maliasili na Utalii Dkt. Hamis Kigwangala, Naibu Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Mhe. Suzane Kolimba wakiwa katika picha ya pamoja Maseneta wa Baraza la Marekani wakiongozwa na Seneta James Inhofe mara baada ya kufanya mazungumzo Ikulu jijini Dar es Salaam.[/caption]