Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Blogu ya Idara ya Habari - MAELEZO

Rais Dkt Magufuli Akutana na Jaji Mkuu wa Tanzania, Wazungumzia Ujenzi wa Mahakama Kuu Dodoma
Dec 07, 2017
Na Msemaji Mkuu

[caption id="attachment_24334" align="aligncenter" width="750"] Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akimlaki Jaji Mkuu wa Tanzania Profesa Ibrahim Hamisi Juma alipokutana na kufanya naye mazungumzo Ikulu ya Chamwino kuhusu ujenzi wa Mahakama Kuu mjini Dodoma leo[/caption] [caption id="attachment_24335" align="aligncenter" width="750"] Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akimsindikiza Jaji Mkuu wa Tanzania Profesa Ibrahim Hamisi Juma baada ya kukutana na kufanya naye mazungumzo katika Ikulu ya Chamwino kuhusu ujenzi wa Mahakama Kuu mjini Dodoma leo[/caption] [caption id="attachment_24336" align="aligncenter" width="750"] Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiagana na Jaji Mkuu wa Tanzania Profesa Ibrahim Hamisi Juma baada ya kukutana na kufanya naye mazungumzo Ikulu ya Chamwino kuhusu ujenzi wa Mahakama Kuu mjini Dodoma leo. (Picha na Ikulu)[/caption]

Mipangilio
Marekebisho ya Mandhari
Marekebisho ya Maandishi