[caption id="attachment_40188" align="aligncenter" width="750"] Katibu wa NEC Idara ya Siasa na Uhusiano wa Kimataifa Kanali Mstaafu Ngemela Lubinga akimsikiliza mmoja wa wafanyakazi wa Channel Ten Bi. Siri Pambe akisoma hundi ya Shilingi Milioni 200 kabla hajaikabidhi kwa Mkurugenzi Mtendaji wa Kampuni ya African Media Group Limited (AMBL) Jaffari Haniu kama ilivyoahidiwa jana na Mwenyekiti wa CCM na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli ili kununua vifaa kuimarisha utendaji wa televisheni hivyo. Akishuhudia kulia ni Katibu wa Mwenyekiti wa CCM Ndg. Ngusa Samike