Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Blogu ya Idara ya Habari - MAELEZO

Rais Dkt. John Pombe Magufuli Awasili Dar es Salaam Akitokea Zanzibar
Oct 16, 2017
Na Msemaji Mkuu

[caption id="attachment_19906" align="aligncenter" width="750"] Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli akishuka kweneye ndege katika Uwanja wa ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere Jijini Dar es Salaam akitokea Zanzibar.[/caption] [caption id="attachment_19909" align="aligncenter" width="750"] Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli akisalimiana na Bi. Sophia Mjema Mkuu wa Wilaya ya Ilala mara baada ya kuwasili katika Uwanja wa ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere Jijini Dar es Salaam akitotokea Zanzibar.[/caption] [caption id="attachment_19912" align="aligncenter" width="750"] Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli akisalimiana na Kamanda wa Kanda Maalumu ya Dar es Salaam Kamishina Lazaro Mambosasa mara baada ya kuwasili katika Uwanja wa ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere Jijini Dar es Salaam akitokea Zanzibar.[/caption] [caption id="attachment_19915" align="aligncenter" width="750"] Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli akisalimiana na Bw.Richard Mayengo Mkuu wa viwanja vya ndege Tanzania mara baada ya kuwasili katika Uwanja wa ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere Jijini Dar es Salaam akitokea Zanzibar.[/caption] [caption id="attachment_19918" align="aligncenter" width="750"] Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli akizungumza na Bi. Sophia Mjema Mkuu wa Wilaya ya Ilala mara baada ya kuwasili katika Uwanja wa ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere Jijini Dar es Salaam. (Picha na Ikulu)[/caption]

Mipangilio
Marekebisho ya Mandhari
Marekebisho ya Maandishi