Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Blogu ya Idara ya Habari - MAELEZO

Rais Dkt. John Pombe Magufuli Aondoka Nchini na Kuwasili Nchini Afrika Kusini Kwaajili ya Sherehe ya Uapisho wa Rais Mteule wa Nchi Hiyo Mhe.Cyril Ramaphosa
May 24, 2019
Na Msemaji Mkuu

[caption id="attachment_43409" align="aligncenter" width="750"] Rais wa Jamhuri ya Muungano waTanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akisalimiana na Rais mstaafu wa awamu ya nne Mhe.Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete kabla ya kuingia kwenye ndege ya Shirika la ndege la Tanzania (Air Tanzania) walipokuwa wakielekea Nchini Afrika Kusini kwaajili ya Sherehe za Uapisho wa Rais Mteule wa nchi hiyo Mhe.Cyril Ramaphosa ambaye anatarajiwa kuapishwa Mei 25,2019.[/caption] [caption id="attachment_43410" align="aligncenter" width="750"] Rais wa Jamhuri ya Muungano waTanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza jambo na Rais mstaafu wa awamu ya nne Mhe.Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete wakiwa kwenye ndege ya Shirika la ndege la Tanzania (Air Tanzania) wakielekea Nchini Afrika Kusini kwaajili ya Sherehe za Uapisho wa Rais Mteule wa nchi hiyo Mhe.Cyril Ramaphosa ambaye anatarajiwa kuapishwa Mei 25,2019.[/caption] [caption id="attachment_43411" align="aligncenter" width="750"] Rais wa Jamhuri ya Muungano waTanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akiwasili katika Uwanja wa ndege wa Kimataifa wa OR Tambo Nchini Afrika Kusini kwaajili ya kuhudhuria Sherehe za Uapisho wa Rais Mteule wa nchi hiyo Mhe.Cyril Ramaphosa ambaye anatarajiwa kuapishwa Mei 25,2019.[/caption]

Mipangilio
Marekebisho ya Mandhari
Marekebisho ya Maandishi