Tuvuti Kuu
Mrejesho
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Blogu ya Idara ya Habari - MAELEZO
Makamu wa Rais Awasili Zambia Kushiriki Mkutano wa SADC
Mar 22, 2024
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Philip Mpango akiwasili katika uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Kenneth Kaunda, Lusaka nchini Zambia tarehe 22 Machi, 2024. Makamu wa Rais anatarajia kumwakilisha Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan katika Mkutano wa Dharura wa Wakuu wa Nchi na Serikali wa Asasi ya Ushirikiano katika Masuala ya Siasa, Ulinzi na Usalama Jumuiya ya Maendeleo Kusini Mwa Afrika (SADC Organ Troika) pamoja na nchi zinazochangia vikosi katika jeshi la utayari la SADC lililopo nchini Msumbiji (SAMIM) na Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (SAMIDRC).
Na Ofisi ya Makamu wa Rais
Habari Mpya
REA Kusambaza Mitungi ya Gesi Zaidi ya 19,000 Mbeya
Nov 20, 2024
Waziri Kombo Aongoza Mkutano wa SADC Organ Troika
Nov 20, 2024
Dkt. Mwinyi Awaapisha Viongozi Aliowateua Hivi Karibuni
Nov 15, 2024
Tanzania Kuungana na Dunia Usalama wa Afya Kimataifa
Nov 13, 2024
Makamu wa Rais Ashiriki Mkutano wa Rasilimali Muhimu za Kijani za Bara la Afrika
Nov 13, 2024
Waziri Mkuu Akutana na Balozi wa Uturuki Nchini
Nov 13, 2024
Mipangilio
Marekebisho ya Mandhari
Giza
Mwanga
Chaguo Msingi
Marekebisho ya Maandishi
Ndogo
Kawaida
Kubwa