Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Blogu ya Idara ya Habari - MAELEZO

Picha za Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa Bungeni Leo.
Nov 09, 2017
Na Msemaji Mkuu

[caption id="attachment_22104" align="aligncenter" width="750"] Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na Kiongozi wa kambi ya upinzani Bungeni, Freeman Mbowe kabla ya kuanza kikao cha Bunge mjini Dodoma, Novemba 9, 2017.[/caption] [caption id="attachment_22105" align="aligncenter" width="750"] Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akijibu swali la papo kwa papo, leo bungeni mjini Dodoma, Novemba 9, 2017.[/caption] [caption id="attachment_22106" align="aligncenter" width="750"] Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akimsikiliza Kiongozi wa kambi ya upinzani Bungeni, Freeman Mbowe wakati akiuliza swali la papo kwa papo, bungeni mjini Dodoma, Novemba 9, 2017. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu).[/caption]

Mipangilio
Marekebisho ya Mandhari
Marekebisho ya Maandishi