[caption id="attachment_37602" align="aligncenter" width="750"] Naibu Waziri Ofisi ya Makamu wa Rais Muungano na Mazingira Mhe. Mussa Sima akifafanua jambo mbele ya Kamati ya Bunge ya Viwanda, Biashara na Mazingira mara baada ya kuwasilisha taarifa ya Utekelezaji wa Sheria ya Mazingira katika ngazi ya Serikali za Mitaa. Kikao hicho kimefanyika leo katika ukumbi wa Bunge Jijini Dodoma.[/caption] [caption id="attachment_37603" align="aligncenter" width="750"] Naibu Katibu Mkuu Ofisi ya Makamu wa Rais Muungano na Mazingira Balozi Joseph Sokoine akifuatilia majadiliano mara baada ya Ofisi yake kuwasilisha taarifa ya utekelezaji wa Sheria ya Mazingira mbele ya Kamati ya Bunge ya Viwanda, Biashara na Mazingira. Kulia ni Mhe. Hawa Mwaifunga Mbunge wa Viti Maalumu.[/caption] [caption id="attachment_37604" align="aligncenter" width="750"] Sehemu ya waheshiwa wabunge wakifuatilia mjadala, kulia ni Mhe Josephine Genzabuke na Mhe. Gibson Blasius Meiseyeki.[/caption]