Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Blogu ya Idara ya Habari - MAELEZO

Naibu Waziri Shonza Atembelea Programu ya Urithi wa Ukombozi wa Bara la Afrika
Jul 22, 2019
Na Msemaji Mkuu

[caption id="attachment_45656" align="aligncenter" width="1002"] Naibu Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Juliana Shonza (kulia) akisalimiana na mwenyeji wake Mratibu wa Programu ya Urithi wa Ukombozi wa Bara la Afrika Bi. Ingiaedi Mduma (kushoto) wakati Naibu Waziri huyo alipotembelea programu hiyo kujionea shughuli mbambali za utendaji kazi wa programu hiyo mapema hii leo Julai 22, 2019 Jijini Dar es Salaam.[/caption] [caption id="attachment_45657" align="aligncenter" width="750"] Mratibu wa Programu ya Urithi wa Ukombozi wa Bara la Afrika Bi. Ingiaedi Mduma (katikati) akifafanua jambo kwa Naibu Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Juliana Shonza (kulia) wakati Naibu Waziri huyo alipotembelea programu hiyo kujionea shughuli mbambali za utendaji kazi wa programu hiyo mapema hii leo Julai 22, 2019 Jijini Dar es Salaam, kushoto Afisa wa Programu hiyo Mayzuhura Simba.[/caption] [caption id="attachment_45658" align="aligncenter" width="750"] Naibu Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Juliana Shonza (kulia) akifafanua jambo kwa watumishi wa Programu ya Urithi wa Ukombozi wa Bara la Afrika wakati Naibu Waziri huyo alipotembelea programu hiyo kujionea shughuli mbambali za utendaji kazi wa programu hiyo mapema hii leo Julai 22, 2019 Jijini Dar es Salaam.[/caption] [caption id="attachment_45659" align="aligncenter" width="750"] Afisa wa Programu ya Urithi wa Ukombozi wa Bara la Afrika, Christopher Mhongole (kushoto) akifafanua jambo kwa Naibu Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Juliana Shonza (kulia) wakati Naibu Waziri huyo alipotembelea programu hiyo kujionea shughuli mbambali za utendaji kazi wa programu hiyo mapema hii leo Julai 22, 2019 Jijini Dar es Salaam.[/caption] [caption id="attachment_45660" align="aligncenter" width="981"] Naibu Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Juliana Shonza (kulia) akiangalia moja ya kitabu chenye picha mbalimbali za urithi wa ukombozi wa Bara la Afrika wakati Naibu Waziri huyo alipotembelea Programu ya Urithi wa Ukombozi wa Bara la Afrika kujioneashughuli mbambali za utendaji kazi wa programu hiyo mapema hii leo Julai 22, 2019 Jijini Dar es Salaam, kushoto ni Mratibu wa Programu hiyo Bi. Ingiaedi Mduma.[/caption] [caption id="attachment_45661" align="aligncenter" width="750"] Naibu Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Juliana Shonza (kulia) akiangalia maendeleo ya ukarabati wa majengo ya Programu ya Urithi wa Ukombozi wa Bara la Afrika wakati Naibu Waziri huyo alipotembelea programu hiyo kujionea shughuli mbambali za utendaji kazi wa programu hiyo mapema hii leo Julai 22, 2019 Jijini Dar es Salaam. (Picha na WHUSM – DSM.)[/caption]

Mipangilio
Marekebisho ya Mandhari
Marekebisho ya Maandishi