Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Blogu ya Idara ya Habari - MAELEZO

Naibu Waziri Shonza Aridhishwa na Maboresho ya Uwanja wa Nyamagana
Jan 09, 2019
Na Msemaji Mkuu

[caption id="attachment_39586" align="aligncenter" width="1000"] Naibu Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Juliana Shonza akishika nyasi bandia za Uwanja wa Nyamagana wakati alipotembelea kujionea maendeleo ya ukarabati wa uwanja huo jana jijini Mwanza.[/caption] [caption id="attachment_39587" align="aligncenter" width="1000"] Sehemu ya Uwanja wa mpira wa miguu wa Nyamagana jijini Mwanza.[/caption] [caption id="attachment_39588" align="aligncenter" width="1000"] Naibu Meya wa Halmashauri ya Jiji la Mwanza Mhe. Bikhu Kotecha akielezea changamoto zinazoikabili Halmashauri hiyo katika kufanikisha ujenzi wa Uwanja wa Nyamagana (kushoto) wakati Naibu Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Juliana Shonza (katikati) alipotembelea kujionea maendeleo ya ukarabati wa uwanja huo jana jijini Mwanza kulia ni Katibu Tawala wa Wilaya ya Nyamagana Alfred Madulu.[/caption] [caption id="attachment_39589" align="aligncenter" width="1000"] Naibu Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Juliana Shonza (katikati) akifafanua jambo kwa viongozi na wadau wa mpira wa miguu wakati alipotembelea kujionea maendeleo ya marekebisho ya Uwanja wa Nyamagana jana jijini Mwanza, kulia ni Katibu Tawala wa Wilaya ya Nyamagana Alfred Madulu na kushoto ni Naibu Meya wa Halmashauri ya Jiji la Mwanza Mhe. Bikhu Kotecha.[/caption]

Mipangilio
Marekebisho ya Mandhari
Marekebisho ya Maandishi