Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Blogu ya Idara ya Habari - MAELEZO

Naibu Waziri Kanyasu Atembelewa na Balozi wa Uingereza Nchini Tanzania
Jan 10, 2019
Na Msemaji Mkuu

[caption id="attachment_39670" align="aligncenter" width="800"] Balozi wa Uingereza nchini Tanzania,Sarah Cooke (katikati) akizungumza na Naibu Waziri wa Maliasili na Utalii, Mhe. Constantine Kanyasu (kulia) kuhusiana na mikakati mbalimbali ya kukabailiana na tatizo la ujangili wa tembo nchini mapema leo ofisini kwake Mpingo House jijini Dar es Salaam.[/caption] [caption id="attachment_39671" align="aligncenter" width="800"] Naibu Waziri wa Maliasili na Utalii, Mhe. Constantine Kanyasu (kulia) akizungumza na Balozi wa Uingereza nchini Tanzania, Sarah Cooke (katikati) mapema leo akiwa na ujumbe wake, wakati alipomtembelea ofisini kwake Mpingo House jijini Dar es Salaam[/caption] [caption id="attachment_39672" align="aligncenter" width="800"] Naibu Waziri wa Maliasili na Utalii, Mhe. Constantine Kanyasu(katikati) akizungumza na Balozi wa Uingereza nchini Tanzania, Sarah Cooke (kulia) kabla ya kuagana naye wakati alipotembelewa ofisini kwake jijini Dar es Salaam.(Picha Zote na Lusungu Helela-MNRT)[/caption]

Mipangilio
Marekebisho ya Mandhari
Marekebisho ya Maandishi