[caption id="attachment_37595" align="aligncenter" width="750"] Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi Rais Dkt. John Pombe Magufuli akiongoza kikao cha Kamati Kuu ya CCM katika ofisi ndogo za chama hicho mtaa wa Lumumba jijini Dar es salaam leo Okotoba 30, 2018[/caption] [caption id="attachment_37597" align="aligncenter" width="750"] Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi Rais Dkt. John Pombe Magufuli akiagana na Makamu wa Rais Mhe. Samia Suluhu Hassan baada ya kuongoza kikao cha Kamati Kuu ya CCM katika ofisi ndogo za chama hicho mtaa wa Lumumba jijini Dar es salaam leo Okotoba 30, 2018.[/caption] [caption id="attachment_37596" align="aligncenter" width="750"] Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi Rais Dkt. John Pombe Magufuli akiagana na Makamu Mwenyekiti wake (Bara) Ndg. Philip Mangula na Katibu Mkuu Dkt. Bashiru Ally, baada ya kuongoza kikao cha Kamati Kuu ya CCM katika ofisi ndogo za chama hicho mtaa wa Lumumba jijini Dar es salaam leo Okotoba 30, 2018[/caption]