Mwakilishi Mpya wa Taasisi ya Hifadhi ya Watoto ya UN Ajitambulisha Zanzibar
Aug 21, 2023
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dkt. Hussein Ali Mwinyi akizungumza na mgeni wake Mwakilishi mpya wa Taasisi ya Hifadhi ya Watoto ya Umoja wa Mataifa, Bibi. Elke Wisch alipofika Ikulu jijini Zanzibar kujitambulisha leo 21/08/2023.
Na
Ikulu - Zanzibar
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dkt. Hussein Ali Mwinyi akizungumza na mgeni wake Mwakilishi mpya wa Taasisi ya Hifadhi ya Watoto ya Umoja wa Mataifa, Bibi. Elke Wisch alipofika Ikulu jijini Zanzibar kujitambulisha leo 21/08/2023.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dkt. Hussein Ali Mwinyi (katikati) akizungumza na Mwakilishi mpya wa Taasisi ya Hifadhi ya Watoto ya Umoja wa Mataifa, Bibi. Elke Wisch (kushoto) alipofika kujitambulisha leo Ikulu jijini Zanzibar (kulia) Katibu wa Baraza la Mapinduzi na Katibu Mkuu Kiongozi, Mhandisi Zena Ahmed Said.[
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dkt. Hussein Ali Mwinyi (kulia) alipokuwa akisalimiana na Mwakilishi mpya wa Taasisi ya Hifadhi ya Watoto ya Umoja wa Mataifa, Bibi. Elke Wisch alipofika kujitambulisha leo Ikulu jijini Zanzibar
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dkt. Hussein Ali Mwinyi (kulia) alipokuwa akibadilishana mawazo na Mwakilishi mpya wa Taasisi ya Hifadhi ya Watoto ya Umoja wa Mataifa, Bibi. Elke Wisch alipofika kujitambulisha leo Ikulu jijini Zanzibar
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dkt. Hussein Ali Mwinyi (kulia) alipokuwa katika picha na mgeni wake Mwakilishi mpya wa Taasisi ya Hifadhi ya Watoto ya Umoja wa Mataifa, Bibi. Elke Wisch baada ya mazungumzo alipofika kujitambulisha leo Ikulu jijini Zanzibar