Msemaji Mkuu wa Serikali Ashiriki Kuaga Mwili wa Mwanahabari Mkongwe
Jul 13, 2022
Na
Jacquiline Mrisho
Mkurugenzi wa Idara ya Habari - MAELEZO na Msemaji Mkuu wa Serikali, Gerson Msigwa leo Julai 13, 2022 akizungumza wakati aliposhiriki kuuaga mwili wa aliyekuwa Mwandishi wa Habari mkongwe nchini, Dkt. Gideon Juma Safari Shoo, aliyefariki dunia Julai 9, 2022