[caption id="attachment_27099" align="aligncenter" width="750"] MKE wa Rais wa Zanzibar Mama Mwanamwema Shein (kushoto), akisalimiana na Waziri wa Biashara Viwanda na Masoko Mhe. Balozi Amina Salum Ali alipowasili katika viwanja vya Maisara Zanzibar kwa ajili ya ufunguzi wa Kongamano la Afya na Maisha Bora lililoandaliwa na Wizara ya Biashara, Viwanda na Masoko.[/caption] [caption id="attachment_27100" align="aligncenter" width="750"] MKE wa Rais wa Zanzibar Mama Mwanamwema Shein, Mke wa Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Mama Asha Suleiman, wakimsikiliza Mkurugenzi Mkuu wa Kampuni ya Inaya Zanzibar Limited Cheherazade Cheikh akitowa maelezo ya bidhaa za kampuni yake katika Maonesho ya Tamasha la Nne la Biashara Zanzibar linalofanyika katika viwanja vya mpira Maisara.[/caption] [caption id="attachment_27101" align="aligncenter" width="750"] MKE wa Rais wa Zanzibar Mama Mwanamwema Shein, Mke wa Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Mama Asha Suleiman, wakimsikiliza Mjasiriamali wa Kikundi cha ZANAP Nassor Hamad Omar, akitowa maelezo ya bidhaa zinazozalishwa na kikundi chao wakati wa maoenesho ya Biashara katika viwanja vyaa maisara Zanzibar.[/caption] [caption id="attachment_27102" align="aligncenter" width="750"] BAADHI ya Washiriki wa Kongamano la Afya na Maisha Bora lililoandaliwa na Wizara ya Biashara Viwanda na Masoko kwa Wajasiriamali katika viwanja vya maisara Zanzibar wakimsikiliza Mke wa Rais wa Zanzibar Mama Mwaamwema Shein, akifungua Kongamano hilo la Siku moja.[/caption] [caption id="attachment_27103" align="aligncenter" width="750"] WAZIRI wa Biashara Viwanda na Masoko Mhe. Balozi Amani Salum Ali akizungumza wakati wa Kongamano la Afya na Maisha Bora, wakati wa Tamasha la Nne la Maenesho ya Biashara katika viwanja vya maisara Zanzibar.([/caption] [caption id="attachment_27104" align="aligncenter" width="750"] MKE wa Rais wa Zanzibar Mama Mwanamwema Shein, akihutubia wakati wa ufunguzi wa Kongamano la Afya na Maisha Bora kwa Washiriki wa Tamasha la Nne la Maonesho ya Biashara katika viwanja vya Maisara Zanzibar.lililoandaliwa na Wizara ya Biashara Viwanja na Masoko Zanzibar.(Picha na Ikulu)[/caption]