Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Blogu ya Idara ya Habari - MAELEZO

Miaka Minne ya JPM: Maabara ya Mkemia Mkuu wa Serikali imeimarisha Miundombinu
Nov 27, 2019
Na Msemaji Mkuu

[caption id="attachment_49380" align="aligncenter" width="750"] Mkemia Mkuu wa Serikali, Dkt. Fidelice Mafumiko akizungumza na Waandishi wa Habari (Hawapo Pichani), kuhusu mafanikio ya Mamlaka ya Maabara ya Mkemia Mkuu wa Serikali ikiwemo ununuzi wa vifaa vya TZS Bilioni 6.5 na Ujenzi wa Maabara za kanda kwa miaka minne ya Serikali ya Awamu ya Tano, Mkutano huo ulifanyika katika ukumbi wa Mikutano wa Idara ya Habari-MAELEZO, Jijini Dar es Salaam.[/caption] [caption id="attachment_49383" align="aligncenter" width="750"] Mkemia Mkuu wa Serikali, Dkt. Fidelice Mafumiko akizungumza na Waandishi wa Habari (Pichani), kuhusu mafanikio ya Mamlaka ya Maabara ya Mkemia Mkuu wa Serikali ikiwemo ununuzi wa vifaa vya TZS Bilioni 6.5 na Ujenzi wa Maabara za kanda kwa miaka minne ya Serikali ya Awamu ya Tano, Mkutano huo ulifanyika katika ukumbi wa Mikutano wa Idara ya Habari-MAELEZO, Jijini Dar es Salaam.[/caption] [caption id="attachment_49384" align="aligncenter" width="750"] Kaimu Mkurugenzi Idara ya Usimamizi wa Kemikali kutoka Mamlaka ya Maabara ya Mkemia Mkuu wa Serikali, Daniel Ndiyo, akizungumza na Waandishi wa Habari (Hawapo Pichani), Kuhusu Mafanikio ya Ofisi hiyo, ikiwemo ununuzi wa vifaa vya TZS Bilioni 6.5 na Ujenzi wa Maabara za kanda, Mkutano huo ulifanyika katika ukumbi wa Mikutano wa Idara ya Habari-MAELEZO, Jijini Dar es Salaam.[/caption] [caption id="attachment_49385" align="aligncenter" width="750"] Kaimu Mkurugenzi Idara ya Usimamizi wa Kemikali kutoka Mamlaka ya Maabara ya Mkemia Mkuu wa Serikali, Daniel Ndiyo, akisisitiza jambo kwa A Waandishi wa Habari (Hawapo Pichani), Kuhusu Mafanikio ya Ofisi hiyo, ikiwemo ununuzi wa vifaa vya TZS Bilioni 6.5 na Ujenzi wa Maabara za kanda, Mkutano huo ulifanyika katika ukumbi wa Mikutano wa Idara ya Habari-MAELEZO, Jijini Dar es Salaam.[/caption]

Mipangilio
Marekebisho ya Mandhari
Marekebisho ya Maandishi