Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Blogu ya Idara ya Habari - MAELEZO

Mfumuko wa Bei Waelekea Kupungua
May 08, 2017
Na Msemaji Mkuu

[caption id="attachment_736" align="alignnone" width="705"] Mkurugenzi wa Takwimu za Jamii na Sensa kutoka Ofisi ya Taifa ya Takwimu (NBS), Bw. Ephraim Kwesigabo akifafanua jambo mbele ya waandishi wa habari kuhusu hali ya mfumuko wa bei kwa mwezi April 2017 katika mkutano uliofanyika ofisini kwako leo Jijini Dar es Salaam. Kulia ni Mtakwimu kutoka Ofisi ya Taifa ya Takwimu (NBS), Hashim Njowele.[/caption] [caption id="attachment_699" align="alignnone" width="630"] Mkurugenzi wa Takwimu za Jamii na Sensa kutoka Ofisi ya Taifa ya Takwimu (NBS), Bw. Ephraim Kwesigabo akifafanua jambo mbele ya waandishi wa habari kuhusu hali ya mfumuko wa bei kwa mwezi April 2017 katika mkutano uliofanyika ofisini kwako leo Jijini Dar es Salaam.[/caption] [caption id="attachment_701" align="alignnone" width="630"] Baadhi ya waandishi wa habari wakifuatilia mkutano kuhusu taarifa ya mfumuko wa bei kwa mwezi April leo Jijini Dar es Salaam. Picha na: Frank Shija[/caption]

Picha na: Frank Shija

Mipangilio
Marekebisho ya Mandhari
Marekebisho ya Maandishi