Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Blogu ya Idara ya Habari - MAELEZO

Matukio Yaliyojiri katika Bunge la 11 Mjini Dodoma Leo katika Picha.
May 31, 2017
Na Msemaji Mkuu

[caption id="attachment_2201" align="aligncenter" width="750"] Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano ya Tanzania Mhe. Kassim Majaliwa akizungumza jambo na Waziri wa Habari,Utamaduni,Sanaa na Michezo Mhe.Harrison Mwakyembe katika kikao cha 38 cha Mkutano wa Saba wa Bunge la 11 leo Mjini Dodoma Mei 31, 2017.[/caption] [caption id="attachment_2203" align="aligncenter" width="750"] Mwanasheria Mkuu wa Serikali Mhe.George Masaju akifuatilia jambo kutoka kwa Naibu Waziri Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Mhe.Dk.Suzan Kolimba katika kikao cha 38 cha Mkutano wa Saba wa Bunge la 11 leo Mjini Dodoma Mei 31, 2017.Kushoto ni Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu Sera,Bunge,Ajira,Kazi,Vijana na Watu wenye Ulemavu Mhe.Jenista Mhagama.[/caption] [caption id="attachment_2206" align="aligncenter" width="750"] Waziri wa Maliasili na Utalii Mhe.Prof Jumanne Maghembe akimskiliza Mbunge wa Mtama(CCM) Mhe.Nape Nnauye katika kikao cha 38 cha Mkutano wa Saba wa Bunge la 11 leo Mjini Dodoma Mei 31, 2017.[/caption] [caption id="attachment_2209" align="aligncenter" width="750"] Mbunge wa Arumeru Mashariki(CHADEMA) Mhe.Joshua Nassari akifurahi jambo na Mbunge wa Momba(CHADEMA) Mhe.David Silinde katika kikao cha 38 cha Mkutano wa Saba wa Bunge la 11 leo Mjini Dodoma Mei 31, 2017.[/caption]

Mipangilio
Marekebisho ya Mandhari
Marekebisho ya Maandishi