Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Blogu ya Idara ya Habari - MAELEZO

Matukio ya Waziri Mkuu Bungeni 23 Aprili, 2018
Apr 23, 2018
Na Msemaji Mkuu

[caption id="attachment_30756" align="aligncenter" width="750"] Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na Mwenyekiti wa Bunge na Mbunge wa Ilala, Mussa Azzan Zungu Bungeni mjini Dodoma, Aprili 23, 2018.[/caption] [caption id="attachment_30758" align="aligncenter" width="750"] Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu, Sera, Bunge, Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu, Jenista Mhagama (kushoto) akizungumza na Naibu Waziri , Ofisi ya Waziri Mkuu, Kazi, Vijana na Ajira, Anthony Mavunde, Bungeni mjini Dodoma Aprili 23, 2018.[/caption] [caption id="attachment_30759" align="aligncenter" width="740"] Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu, Sera, Bunge, Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu, Jenista Mhagama (kushoto) akiteta na Naibu Waziri, Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Juliana Shonza, Bungeni mjini Dodoma, Aprili23, 2018.[/caption] [caption id="attachment_30757" align="aligncenter" width="750"] Waziri wa Nishati Dkt. Medard Kalemani akijibu swali bungeni mjini Dodoma, Aprili 23, 2018. (Picha na ofisi ya Waziri Mkuu)[/caption]

Mipangilio
Marekebisho ya Mandhari
Marekebisho ya Maandishi