[caption id="attachment_53250" align="aligncenter" width="750"] Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza leo Jijini Dodoma, wakati wa shughuli za kuvunja Bunge la kumi na moja zilizofanyika Bungeni jijini Dodoma.[/caption] [caption id="attachment_53251" align="aligncenter" width="750"] Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akimsikiliza Makamu wa Rais, Samia Suluhu Hassan leo Jijini Dodoma, wakati wa shughuli za kuvunja Bunge la kumi na moja zilizofanyika Bungeni jijini Dodoma.[/caption] [caption id="attachment_53241" align="aligncenter" width="750"] Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan akisalimiana na Spika wa Bunge, Job Ndugai leo Jijini Dodoma, wakati akiwasili Bungeni hapo kwa ajili ya shughuli za kuvunja Bunge la kumi na moja zilizofanyika Bungeni jijini Dodoma.[/caption] [caption id="attachment_53243" align="aligncenter" width="750"] Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan akizungumza na Rais Mstaafu wa Awamu ya Tatu, Benjamini Mkapa leo Jijini Dodoma, wakati wa shughuli za kuvunja Bunge la kumi na moja zilizofanyika Bungeni jijini Dodoma.[/caption] [caption id="attachment_53249" align="aligncenter" width="750"] Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwa katika picha ya pamoja na Rais wa Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar, Dkt. Mohamed Shein (kulia) pamoja na Marais wa Awamu zilizopita mara baada ya kuisha kwa shughuli za kuvunja Bunge la kumi na moja zilizofanyika Bungeni jijini Dodoma leo Jijini Dodoma.[/caption] [caption id="attachment_53245" align="aligncenter" width="750"] Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwa katika picha ya pamoja na baadhi ya viongozi wa Serikali pamoja na Marais wa Awamu zilizopita mara baada ya kuisha kwa shughuli za kuvunja Bunge la kumi na moja zilizofanyika Bungeni jijini Dodoma leo Jijini Dodoma.[/caption] [caption id="attachment_53246" align="aligncenter" width="750"] Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwa katika picha ya pamoja na baadhi ya viongozi wa Serikali mara baada ya kuisha kwa shughuli za kuvunja Bunge la kumi na moja zilizofanyika Bungeni jijini Dodoma leo Jijini Dodoma.[/caption]