Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. John Pombe Magufuli akimpokea mgeni wake Rais wa Jamhuri ya Ethiopia, Mhe.
Sahle-Work Zewde mara baada ya kuwasili katika Uwanja wa Ndege wa
Geita mjini Chato leo Jumatatu Januari 25, 2021kwa ziara ya kikazi ya
siku moja.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. John Pombe Magufuli
akimzawadia picha ya kuchora ya mlima Kilimanjaro mgeni wake Rais wa Jamhuri ya Ethiopia, Mhe.Sahle-Work Zewde walipowasili Ikulu ndogo ya Chato mkoani Geita leo Jumatatu Januari 25, 2021 kwa ziara ya kikazi ya siku moja.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. John Pombe Magufuli
akimzawadia kinyago cha Kimakonde cha "UJAMAA" mgeni wake Rais wa Jamhuri ya Ethiopia, Mhe.Sahle-Work Zewde walipowasili Ikulu ndogo ya Chato mkoani Geita leo
Jumatatu Januari 25,2021 kwa ziara ya kikazi ya siku moja.
akizungumza na Waandishi wa Habari baada ya kuzungumza na mgeni wake Rais wa Jamhuri ya Ethiopia, Mhe.Sahle-Work Zewde i Ikulu ndogo ya Chato mkoani Geita leo Jumatatu Januari 25,2021 kwa ziara ya kikazi ya siku moja.
Rais wa Jamhuri ya Ethiopia, Mhe.Sahle-Work Zewde akizungumza na Waandishi wa Habari baada ya mazungumzo na mwenyeji wake Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. John Pombe Magufuli Ikulu ndogo ya Chato mkoani Geita leo Jumatatu Januari 25,2021 kwa ziara ya kikazi ya siku moja.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. John Pombe
Magufuli akiongea na Rais wa Jamhuri ya Ethiopia Mhe. Sahle-Work Zewde
wakati akimsindikiza mgeni wake huyo baada ya kuhitimisha ziara yake
ya kikazi ya siku moja nchini katika Uwanja wa Ndege wa Geita leo
Jumatatu Januari 25, 20121
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. John Pombe
Magufuli akipunga mkono kumuaga Rais wa Jamhuri ya Ethiopia, Mhe. Sahle-Work
Zewde baada ya kuhitimisha ziara yake ya kikazi ya siku moja nchini
katika Uwanja wa Ndege wa Geita leo Jumatatu Januari 25, 20121