Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Ikulu, George Mkuchika, Bungeni jijini Dodoma, Aprili 25, 2022.
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na Mbunge wa Bunda Mjini, Robert Maboto Bungeni jijini Dodoma, Aprili 25, 2022.
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akiwa katika picha ya pamoja na Watoto wenye mahitaji maalum, kutoka Shule ya Al Muntazir iliyopo Dar es Salaam, Bungeni jijini Dodoma, Aprili 25, 2022.
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akipokea picha kutoka kwa Mkuu wa Kitengo cha Watoto wenye uhitaji maalum Shule ya Al Muntazir iliyopo Dar es Salaam, ambayo imetengenezwa kwa shanga na watoto hao, nje ya jengo la Bunge jijini Dodoma, Aprili 25, 2022.