Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na Mbunge wa Mlalo, Rashid Abdallah Shangazi, bungeni jijini Dodoma Novemba 9, 2022.
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu, Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu, Profesa Joyce Ndalichako, Waziri wa Fedha na Mipango, Dkt. Mwigulu Nchemba na Naibu Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Ridhiwani Kikwete, bungeni jijini Dodoma Novemba 9, 2022.
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na Mbunge wa Tarime Vijijini, Mwita Waitara bungeni jijini Dodoma Novemba 9, 2022.
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na Mbunge wa Mpwapwa, George Malima, bungeni jijini Dodoma Novemba 9, 2022.
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na Wabunge wa Viti Maalum, Rose Tweve (kushoto) na Juliana Shonza (katikati) kwenye viwanja vya Bunge jijini Dodoma Novemba 9, 2022.
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na Mbunge wa Mwibara, Charles Kajege (kushoto) na Mbunge wa Katavi, Isaac Kamwelwe (katikati) kwenye viwanja vya Bunge jijini Dodoma Novemba 9, 2022.