[caption id="attachment_37508" align="aligncenter" width="900"] Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu Kazi Vijana Ajira na Wenye Ulemavu Mhe. Jenista Mhagama akihutubia wajumbe wa Bodi ya wadhamini wa Mfuko wa Pensheni wa NSSF leo Jijini Dodoma wakati wa uzinduzi wa Bodi hiyo leo.[/caption]
Katibu Mkuu , Ofisi ya Waziri Mkuu Kazi Vijana Ajira na Wenye Ulemavu Bw. Andrew Masawe akizungumza wakati wa hafla ya uzinduzi wa Bodi ya wadhamini wa Mfuko wa Pensheni wa NSSF leo Jijini Dodoma.
Mwenyekiti wa Bodi ya wadhamini wa Mfuko wa Pensheni wa NSSF Balozi Ali Idi Siwa akizungumza leo Jijini Dodoma wakati wa hafla ya uzinduzi wa Bodi hiyo.
Mwenyekiti wa Bodi ya wadhamini wa Mfuko wa Pensheni wa NSSF Balozi Ali Idi Siwa (katikati) akiwa kwenye picha ya pamoja na wajumbe wa Bodi hiyo leo Jijini Dodoma mara baada ya kuzinduliwa kwake.
Mkurugenzi Mkuu wa Mfuko wa Pensheni wa NSSF Bw. William Erio akizungumza wakati wa hafla ya uzinduzi wa Bodi ya Wadhamini ya mfuko huo leo Jijini Dodoma.
Mkurugenzi Mkuu wa Mfuko wa Pensheni wa NSSF Bw. William Erio akizungumza wakati wa hafla ya uzinduzi wa Bodi ya Wadhamini ya mfuko huo leo Jijini Dodoma.
Sehemu ya washiriki wa Hafla ya uzinduzi wa Bodi ya wadhamini ya Mfuko wa Pensheni wa NSSF wakifuatilia hafla hiyo leo Jijini Dodoma.
Mmoja wa wajumbe wa Bodi ya wadhamini ya mfuko wa Pensheni wa NSSF Bi. Jane Nyimbo akisisitiza jambo kwa Mkurugenzi Mkuu wa Mfuko wa Pensheni wa NSSF Bw. William Erio leo Jijini Dodoma mara baada ya kuzinduliwa kwa Bodi ya mfuko huo.
Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu Kazi Vijana Ajira na Wenye Ulemavu Mhe. Jenista Mhagama akiagana na Mkurugenzi Mkuu wa SSRA Dkt. Irene Isaka mara baada ya uzinduzi wa Bodi ya wadhamini ya NSSF leo Jijini Dodoma.
Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu Kazi Vijana Ajira na Wenye Ulemavu Mhe. Jenista Mhagama akiwa kwenye picha ya pamoja na wajumbe wa menejimenti ya mfuko wa NSSF leo Jijini Dodoma wakati wa hafla ya uzinduzi wa mfuko huo.
Kaimu Mkurugenzi wa Sheria wa mfuko wa Pensheni wa NSSF Bw. Suleiman Msangi akiteta jambo na Kaimu Mkurugenzi wa Ukaguzi wa ndani wa mfuko huo Bw. Nurdin Mruma.