Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Blogu ya Idara ya Habari - MAELEZO

Matukio Katika Picha Mkutano wa Mawaziri SADC
Sep 16, 2019
Na Msemaji Mkuu

[caption id="attachment_46940" align="aligncenter" width="750"] Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasliano Mhandisi Isack Kamwelwe akizungumza na Waandishi wa Habari mala baada ya kufungua Mkutano wa Mawaziri wa Nchi Wanachama wa Jumuiya ya Afrika ya kusini (SADC) Sekta ya Tehama, Habari, Uchukuzi, na Hali ya Hewa leo, Jijini Dar es Salaam.[/caption] [caption id="attachment_46945" align="aligncenter" width="750"] Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasliano Mhandisi Isack Kamwelwe akikagua Mabanda ya Wajasiriamali na Taasisi mbalimbali katika Maonyesho ya Mkutano wa Mawaziri wa Nchi Wanachama wa Jumuiya ya Afrika ya Kusini (SADC) Sekta ya Tehama, Habari, Uchukuzi, na Hali ya Hewa leo, Jijini Dar es Salaam.[/caption] [caption id="attachment_46947" align="aligncenter" width="750"] Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasliano Mhandisi Isack Kamwelwe akitazama Burudani ya Ngoma kutoka kikundi cha Jeshi la Magereza mala baada ya kufungua Mkutano wa Mawaziri wa Nchi Wanachama wa Jumuiya ya Afrika ya kusini (SADC) Sekta ya Tehama, Habari, Uchukuzi, na Hali ya Hewa leo, Jijini Dar es Salaam.[/caption]

Mipangilio
Marekebisho ya Mandhari
Marekebisho ya Maandishi