[caption id="attachment_30862" align="aligncenter" width="877"] . Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Kassim Majaliwa akisalimiana na Mkuu wa Mkoa wa Dodoma mara baada ya kuwasili katika uwanja wa Jamhuri mjini Dodoma kukagua hatua iliyofikiwa katika maandalizi ya sherehe za Muungano wa Tanganyika na Zanzibar zinazotarajiwa kufanyika tarehe 26 mwezi huu mjini Dodoma.