Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Blogu ya Idara ya Habari - MAELEZO

Matukio Katika Picha Bungeni Leo
Feb 05, 2019
Na Msemaji Mkuu

[caption id="attachment_40119" align="aligncenter" width="707"] Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Job Ndugai akizungumza mara baada ya Bunge kurejea Jijini Dodoma. Spika ametoa Taarifa fupi kuhusu King'ora cha hatari kilicholia kuashiria hali ya hatari  Bungeni  kuwa hakukuwa na hatari yeyote.[/caption] [caption id="attachment_40118" align="aligncenter" width="658"] Waziri wa Katiba na Sheria Mhe.Prof .Palamagamba Kabudi akijibu hoja mbalimbali za wabunge leo Bungeni Jijini Dodoma.[/caption] [caption id="attachment_40116" align="aligncenter" width="691"] Naibu Waziri Ofisi ya Makamu wa Rais-Muungano na Mazingira Mhe.Musa Sima akijibu maswali mbalimbali ya wabunge Bungeni leo Jijini Dodoma.[/caption]   [caption id="attachment_40113" align="aligncenter" width="800"] Katibu wa Bunge Mhe.Stephen Kagaigai akiteta jambo na Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu Sera, Bunge, Kazi,Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu Mhe,Jenista Mhagama,Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi Mhe.William Lukuvi na Mbunge wa Arusha Mjini Mhe.Godbless Lema wakati Bunge lilipositishwa kwa muda baada ya King’ora cha kuashiria hatari  kulia leo Bungeni Jijini Dodoma.[/caption] [caption id="attachment_40117" align="aligncenter" width="800"] Wageni mbalimbali wakifuatilia shughuli mbalimbali za Bunge leo Jijini Dodoma.[/caption] [caption id="attachment_40115" align="aligncenter" width="800"] Naibu Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Dkt Tulia Ackson akiuliza swali leo Bungeni Jijini Dodoma.[/caption]

Mipangilio
Marekebisho ya Mandhari
Marekebisho ya Maandishi