Mwenyekiti wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Andrew Chenge akiongoza kikao cha thelathini na tatu cha mkutano wa kumi na moja leo Jijini Dodoma.
Viongozi waandamizi wa Wizara ya maliasili na Utalii wakiongozwa na Katibu mkuu Meja Jenerali Gaudence Milanzi na Naibu Katibu Mkuu Dkt.Aloyce Nzuki wakifatilia shughuli mbalimbali za Bunge leo Jijini Dodoma.
Naibu Waziri-TAMISEMI Mhe.Josephat Kandege akijibu hoja mbalimbali za wabunge wakati kikao cha thelathini na tatu cha mkutano wa kumi na moja leo Jijini Dodoma.
Waziri wa Maliasili na Utalii Mhe.Dkt Hamisi Kigwangalla akiteta jambo na Naibu wake Mhe.Japhet Hasunga wakati kikao cha thelathini na tatu cha mkutano wa kumi na moja leo Jijini Dodoma.
Waziri wa Maliasili na Utalii Mhe.Dkt Hamisi Kigwangalla akiwasilisha hotuba ya Makadirio ya mapato na matumizi ya Wizara hiyo kwa Mwaka wa Fedha 2018/2019.
Naibu Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Mhe.Dkt Suzan Kolimba akijibu maswali mbalimbali ya wabunge wakati kikao cha thelathini na tatu cha mkutano wa kumi na moja leo Jijini Dodoma.