Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na Mbunge wa Same Magharibi, David Mathayo David (katikati) na Mbunge wa Viti Maalum, Zainab Katimba, bungeni jijini Dodoma, Novemba 1, 2023.
Na
Ofisi ya Waziri Mkuu
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na Naibu Waziri wa Kilimo, David Silinde, bungeni jijini Dodoma, Novemba 1, 2023.Naibu Waziri Ofisi ya Waziri Mkuu, Sera, Bunge na Uratibu, Ummy Nderiananga akijibu maswali, bungeni jijini Dodoma, Niovemba 1, 2023.
Naibu Waziri Ofisi ya Waziri Mkuu, Kazi, Ajira, Vijana na Wenye Ulemavu, Patrobas Katambi akijibu maswali, bungeni jijini Dodoma, Novemba 1, 2023.