[caption id="" align="aligncenter" width="900"] Mwanasheria Mkuu Wa Serikali Dkt. Adelardus Kilangi akila kiapo cha uaminifu Bungeni mapema leo , Baada ya Kuteuliwa na Rais Wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli Kushika wadhifa huo hivi Karibuni. Kulia ni Katibu wa Bunge Dkt. Stephen Kagaigai akishuhudia kiapo hicho.[/caption]
[caption id="attachment_28530" align="aligncenter" width="900"]
. Naibu Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Tulia Ackson akimpongeza Mwanasheria Mkuu Wa Serikali Dkt. Adelardus Kilangi mara baada ya kiapo cha uaminifu Bungeni mjini Dodoma, mapema leo .[/caption]
[caption id="" align="aligncenter" width="900"]
. Mwanasheria Mkuu Wa Serikali Dkt. Adelardus Kilangi akisitiza jambo kwa Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu Sera, Bunge, Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu mhe. Jenista Mhagama wakati wa kikao cha Bunge leo mjini Dodoma.[/caption]
Naibu Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Tulia Ackson akisistiza jambo wakati wa Kikao cha Bunge leo mjini Dodoma.[/caption]