Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Blogu ya Idara ya Habari - MAELEZO

Matukio Bungeni katika Picha
May 07, 2019
Na Msemaji Mkuu

[caption id="attachment_42854" align="aligncenter" width="750"] Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akisalimiana na Mbunge wa Rufiji, Mohamed Mchengerwa kwenye viwanja vya Bunge jijini Dodoma Mei 7.2019.[/caption] [caption id="attachment_42855" align="aligncenter" width="750"] Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akifurahia jambo na Naibu Waziri wa Mifugo na Uvuvi, Abdallah Ulega, kwenye viwanja vya Bunge jijini Dodoma Mei 7.2019, katikati ni Mbunge wa Rufiji, Mohamed Mchengerwa.[/caption] [caption id="attachment_42856" align="aligncenter" width="750"] Waziri Mkuu Kassim Majaliwa, akisalimiana na Mbunge wa Monduli, Julius Kalanga kwenye viwanja vya Bunge jijini Dodoma Mei 7.2019, katikati ni Mbunge wa Longido, Dkt. Steven Kiruswa[/caption] [caption id="attachment_42857" align="aligncenter" width="750"] Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia Wazee na Watoto, Ummy Mwalimu, akisoma hotuba ya makadirio ya mapato na matumizi ya fedha kwa mwaka 2019 / 2020, Bungeni jijini Dodoma Mei 7.2019[/caption]

Mipangilio
Marekebisho ya Mandhari
Marekebisho ya Maandishi