Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Blogu ya Idara ya Habari - MAELEZO

Masauni Aongoza Wajumbe wa Baraza la Taifa la Usalama Barabarani Kutoa Elimu ya Usalama Barabarani Visiwani Zanzibar
Aug 13, 2019
Na Msemaji Mkuu

[caption id="attachment_46053" align="aligncenter" width="750"] Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, ambae pia ni Mwenyekiti wa Baraza la Taifa la Usalama Barabarani, Mhandisi Hamad Masauni (wapili kulia), akiwaongoza wajumbe wa baraza hilo kuelekea katika vituo vya daladala kutoa elimu kwa watumiaji wa vyombo vya moto,lengo la elimu hiyo ni kuwaepusha na ajali zinazoweza kuzuilika,zoezi hilo limefanyika Visiwani Zanzibar[/caption] [caption id="attachment_46054" align="aligncenter" width="750"] Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, ambae pia ni Mwenyekiti wa Baraza la Taifa la Usalama Barabarani, Mhandisi Hamad Masauni (kulia), akimsikiliza mwananchi wa Zanzibar wakati wa utoaji wa elimu kwa madereva na watumiaji wa barabara, lengo la elimu hiyo ni kuwaepusha na ajali zinazoweza kuzuilika, zoezi hilo limefanyika Visiwani Zanzibar.Watatu kulia ni Naibu Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano, Elias Kwandikwa.[/caption] [caption id="attachment_46049" align="aligncenter" width="750"] CAP PIC 1
Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, ambae pia ni Mwenyekiti wa Baraza la Taifa la Usalama Barabarani, Mhandisi Hamad Masauni (kulia), akimuelekeza dereva bodaboda jinsi ya kufunga kofia ngumu wakati wa utoaji wa elimu kwa madereva na watumiaji wa barabara, lengo la elimu hiyo ni kuwaepusha na ajali zinazoweza kuzuilika,zoezi hilo limefanyika Visiwani Zanzibar[/caption] [caption id="attachment_46050" align="aligncenter" width="750"] Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, ambae pia ni Mwenyekiti wa Baraza la Taifa la Usalama Barabarani, Mhandisi Hamad Masauni(katikati), akizungumza na dereva wa daladala wakati wa utoaji wa elimu kwa madereva na watumiaji wa barabara, lengo la elimu hiyo ni kuwaepusha na ajali zinazoweza kuzuilika,zoezi hilo limefanyika Visiwani Zanzibar.Kushoto ni Naibu Waziri wa Ujenzi,Uchukuzi na Mawasiliano,Elias Kwandikwa.[/caption]

Mipangilio
Marekebisho ya Mandhari
Marekebisho ya Maandishi