Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Blogu ya Idara ya Habari - MAELEZO

Mama Samia Suluhu Hassan Amwakilisha Rais Dkt. Magufuli Sherehe za Uapisho wa Rais Kenyatta
Nov 28, 2017
Na Msemaji Mkuu

[caption id="attachment_23691" align="aligncenter" width="825"] Makamu wa Rais akimpongeza Rais Kenyatta kwa kuapishwa kuwa Rais wa Jamhuri ya kenya katika uwanja wa Moi Kasarani Mjini Nairobi. Mhe. Samia Suluhu Hassan amemwakilisha Rais wa jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli[/caption] [caption id="attachment_23699" align="aligncenter" width="750"] Makamu wa Rais Mhe Samia Suluhu Hassan (wa tatu kulia) akiwa pamoja na viongozi wengine wa nchi mbalimbali waliohudhulia katika Sherehe za kuapishwa kwa Rais wa Jamhuri ya Kenya, Rais Uhuru Kenyatta iliyofanyika leo kwenye uwanja wa Moi Kasarani Mjini Nairobi, Kenya. Mhe. Samia Suluhu Hassan amehudhulia sherehe hizo akimwakilisha Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli. Picha na Ikulu.[/caption] [caption id="attachment_23700" align="aligncenter" width="750"] Makamu wa Rais Mhe Samia Suluhu Hassan akimpongeza Rais Uhuru Kenyatta kwa kuapishwa kuwa Rais wa Jamhuri ya Kenya kwa awamu ya pili, katika Sherehe zilizofanyika leo kwenye uwanja wa Moi Kasarani Mjini Nairobi, Kenya. Mhe. Samia Suluhu Hassan amehudhulia sherehe hizo akimwakilisha Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli.[/caption]

Mipangilio
Marekebisho ya Mandhari
Marekebisho ya Maandishi