Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Blogu ya Idara ya Habari - MAELEZO

Mama Salma Kikwete Mgeni Rasmi Kilele cha Siku ya Wanawake Duniani, Mkoani Dar
Mar 09, 2015
Na Mhariri

[caption id="attachment_137" align="aligncenter" width="1200"]Mke wa Rais Mama Salma Kikwete akipokewa na Kaimu Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Ndugu Raymond Mushi wakati akiwasili kwenye viwanja vya Mnazi Mmoja katika kilele cha maadhimisho ya siku ya wanawake duniani mkoani Dar esb Salaam terehe 8.3.2015. Mke wa Rais Mama Salma Kikwete akipokewa na Kaimu Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Ndugu Raymond Mushi wakati akiwasili kwenye viwanja vya Mnazi Mmoja katika kilele cha maadhimisho ya siku ya wanawake duniani mkoani Dar esb Salaam terehe 8.3.2015.[/caption] IMG_3627 [caption id="attachment_139" align="aligncenter" width="1200"]Mke wa Rais Mama Salma Kikwete akipunga mkono ikiwa ni ishara ya kuyapokea maandamano ya akina mama wa Mkoa wa Dar es Salaam kwenye viwanja vya Mnazi Mmoja wakati wa kilele cha maadhimisho ya siku ya wanawake duniani tarehe 8.3.2015. Mke wa Rais Mama Salma Kikwete akipunga mkono ikiwa ni ishara ya kuyapokea maandamano ya akina mama wa Mkoa wa Dar es Salaam kwenye viwanja vya Mnazi Mmoja wakati wa kilele cha maadhimisho ya siku ya wanawake duniani tarehe 8.3.2015.[/caption] IMG_3624 [caption id="attachment_141" align="aligncenter" width="1200"]Wafanyakazi akina mama kutoka Jeshi la Polisi wakipita mbele ya Mgeni Rasmi Mama Salma Kikwete wakifuatiwa na Jeshi la zimamoto. Wafanyakazi akina mama kutoka Jeshi la Polisi wakipita mbele ya Mgeni Rasmi Mama Salma Kikwete wakifuatiwa na Jeshi la zimamoto.[/caption] IMG_3709IMG_3730 [caption id="attachment_144" align="aligncenter" width="1200"]Wafanyakazi kutoka Shirika la Utangazaji Tanzania, TBC, wakifuatiwa na wafanyakazi wa Shirika la Magazeti ya Serikali ya Daily News na Habari leo pamoja na Wizara ya Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo nao wakipita mbele ya jukwaa la mgeni rasmi Wafanyakazi kutoka Shirika la Utangazaji Tanzania, TBC, wakifuatiwa na wafanyakazi wa Shirika la Magazeti ya Serikali ya Daily News na Habari leo pamoja na Wizara ya Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo nao wakipita mbele ya jukwaa la mgeni rasmi[/caption] [caption id="attachment_145" align="aligncenter" width="1200"]Wafanyakazi kutoka Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa wakipita huku wakishangilia kwa furaha mbele ya mgeni rasmi. Wafanyakazi kutoka Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa wakipita huku wakishangilia kwa furaha mbele ya mgeni rasmi.[/caption] [caption id="attachment_146" align="aligncenter" width="1200"]Mke wa Rais Mama Salma Kikwete akishiriki kucheza wimbo wa wanawake na maendeleo wakati wa kudhimisha kilele cha siku ya wanawake duniani mkoani Dar es Salaam zilizofanyika kwenye viwanja vya Mnazi Mmoja tarehe 8.3.2015. Mke wa Rais Mama Salma Kikwete akishiriki kucheza wimbo wa wanawake na maendeleo wakati wa kudhimisha kilele cha siku ya wanawake duniani mkoani Dar es Salaam zilizofanyika kwenye viwanja vya Mnazi Mmoja tarehe 8.3.2015.[/caption] IMG_3817 IMG_3818 IMG_3820 IMG_3822 IMG_3823 [caption id="attachment_152" align="aligncenter" width="1200"]Mke wa Rais Mama Salma Kikwete akisalimiana na mamia ya akina mama kwenye viwanja vya Mnazi Mmoja wakati wa kilele cha maadhimisho ya siku ya wanawake duniani mkoani Dar es Salaam tarehe 8.3.2015. Mke wa Rais Mama Salma Kikwete akisalimiana na mamia ya akina mama kwenye viwanja vya Mnazi Mmoja wakati wa kilele cha maadhimisho ya siku ya wanawake duniani mkoani Dar es Salaam tarehe 8.3.2015.[/caption] IMG_3822 [caption id="attachment_156" align="aligncenter" width="1200"]Mke wa Rais Mama Salma Kikwete akipokea zawadi ya mkoa wa Dar es Salaam kutoka kwa Kaimu Mkuu wa Mkoa na Mkuu wa Wilaya ya Ilala Ndugu Raymond Mushi na Afisa Tawala wa Mkoa Mama Theresia Mbando (katikati) wakati wa kilele cha maadhimisho ya siku ya wanawake duniani tarehe 8.3.2015. Mke wa Rais Mama Salma Kikwete akipokea zawadi ya mkoa wa Dar es Salaam kutoka kwa Kaimu Mkuu wa Mkoa na Mkuu wa Wilaya ya Ilala Ndugu Raymond Mushi na Afisa Tawala wa Mkoa Mama Theresia Mbando (katikati) wakati wa kilele cha maadhimisho ya siku ya wanawake duniani tarehe 8.3.2015.[/caption]   [caption id="attachment_154" align="aligncenter" width="1200"]Mke wa Rais Mama Salma Kikwete akipokea zawadi iliyotolewa na akina mama kutoka moja ya wilaya za Mkoa wa Dar es Salaam wakati wa kilele cha maadhimisho ya siku ya wanawake duniani. Mke wa Rais Mama Salma Kikwete akipokea zawadi iliyotolewa na akina mama kutoka moja ya wilaya za Mkoa wa Dar es Salaam wakati wa kilele cha maadhimisho ya siku ya wanawake duniani.[/caption] IMG_3901 IMG_3902 [caption id="attachment_162" align="aligncenter" width="800"]Mke wa Rais Mama Salma Kikwete akiwahutubia mamia ya wanawake wa mkoa wa Dar es Salaam wakati wa kilele cha siku ya wanawake duniani iliyoadhimishwa kimkoa katika viwanja wa Mnazi Mmoja tarehe 8.3.2015. Mke wa Rais Mama Salma Kikwete akiwahutubia mamia ya wanawake wa mkoa wa Dar es Salaam wakati wa kilele cha siku ya wanawake duniani iliyoadhimishwa kimkoa katika viwanja wa Mnazi Mmoja tarehe 8.3.2015.[/caption] IMG_3998 [caption id="attachment_166" align="aligncenter" width="1200"]Mke wa Rais Mama Salma Kikwee akitembelea mabanda ya maonyesho ya bidhaa mbalimbali zinazozalishwa na wanawake katika Mkoa wa Dra es Salaam wakati wa kilele cha maadhimisho ya siku ya wanawake duniani tarehe 8.3.2015. Mke wa Rais Mama Salma Kikwee akitembelea mabanda ya maonyesho ya bidhaa mbalimbali zinazozalishwa na wanawake katika Mkoa wa Dra es Salaam wakati wa kilele cha maadhimisho ya siku ya wanawake duniani tarehe 8.3.2015.[/caption] [caption id="attachment_167" align="aligncenter" width="1200"]Mke wa Rais Mama Salma Kikwete akitazama vijarida mbalimbali vinavyotolewa na wanawake katika mkoa wa Dar es Salaam kuhusiana na nmasuala ya tafiti mbalimbali. Mke wa Rais Mama Salma Kikwete akitazama vijarida mbalimbali vinavyotolewa na wanawake katika mkoa wa Dar es Salaam kuhusiana na nmasuala ya tafiti mbalimbali.[/caption]

Mipangilio
Marekebisho ya Mandhari
Marekebisho ya Maandishi