[caption id="attachment_25155" align="aligncenter" width="750"] Katibu Mtendaji wa Bodi ya Filamu Tanzania Bibi. Joyce Fissoo akifanya mahojiano na baadhi ya watangazaji wa vituo vya luninga alipokuwa mgeni rasmi katika uzinduzi wa Filamu ya From Nigeria iliyoandalliwa na Kampuni ya Jumo Entertainment mapema wikiendi hii.[/caption] [caption id="attachment_25156" align="aligncenter" width="750"] Katibu Mtendaji wa Bodi ya Filamu Tanzania Bibi. Joyce Fissoo akiwa katika pozi na Msanii aliyeigiza kama mhusika mkuu katika Filamu ya From Nigeria Stick Motela alipokuwa mgeni rasmi katika uzinduzi wa filamu hiyo mapema wikiendi hii.Filamu hiyo imeandalliwa na Kampuni ya Jumo Entertainment.[/caption] [caption id="attachment_25158" align="aligncenter" width="750"] Katibu Mtendaji wa Bodi ya Filamu Tanzania Bibi. Joyce Fissoo akielezea jambo alipokuwa alipokuwa mgeni rasmi katika uzinduzi wa Filamu ya From Nigeria iliyoandalliwa na Kampuni ya Jumo Entertainment mapema wikiendi hii. Katikati ni Msanii aliyeigiza kama mhusika mkuu katika filamu hiyo Stick Motela.[/caption] [caption id="attachment_25159" align="aligncenter" width="750"] Katibu Mtendaji wa Bodi ya Filamu Tanzania Bibi. Joyce Fissoo akisalimiana na Mkuu wa Promosheni na Matangazo wa Kampuni ya Duma Promosheni Daud Maichel (Duma) alipokutana naye katika uzinduzi wa Filamu ya From Nigeria mapema wikiendi hii. Kampuni ya Duma Promosheni ndiyo iliyoratibu shughuli nzima ya uzinduzi wa filamu hiyo. [/caption]