[caption id="attachment_51354" align="aligncenter" width="750"] Makatibu Wakuu na Manaibu Katibu Wakuu wakiwa kwenye picha ya pamoja mbele ya handaki linaloaza kuchorongwa ikiwa ni moja ya maeneo waliyopitishwa na wataalamu ikiwa ni sehemu ya ziara yao inayoendelea katika mradi wa SGR kutoka Dodoma-Dar[/caption] [caption id="attachment_51356" align="aligncenter" width="750"] Kazi ya uchimbaji wa njia ya chini ya kupitisha Reli ikiwa inaendelea[/caption] [caption id="attachment_51358" align="aligncenter" width="750"] Makatibu Wakuu na Manaibu Katibu Wakuu wakishuhudia uchongaji wa barabara ya chini ambapo Reli ya Kisasa (SGR) inapita.[/caption] [caption id="attachment_51361" align="aligncenter" width="750"] Kazi ya uwekaji wa Mataruma ya Reli ikiendelea[/caption] [caption id="attachment_51363" align="aligncenter" width="750"] Makatibu Wakuu na Manaibu Katibu Wakuu wakiwa kwenye kiwanda cha kuzalisha Mataruma kilichopo eneo la Soga.[/caption] [caption id="attachment_51364" align="aligncenter" width="750"] Makatibu Wakuu na Manaibu Katibu Wakuu wakiingia katika moja ya handaki itakapopita Reli ya Kisasa (SGR)[/caption] [caption id="attachment_51365" align="aligncenter" width="750"] Makatibu Wakuu na Naibu Makatibu Wakuu wakishuhudia muonekano wa ndani wa handaki ambalo limekwishakamilika.[/caption]