Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Blogu ya Idara ya Habari - MAELEZO

Makamu Wa Rais Mhe. Samia Suluhu Hassan Akutana na Rais wa Jamhuri ya Demokrasia ya Watu wa Congo (DRC) Mhe. Joseph Kabila
Aug 17, 2018
Na Msemaji Mkuu

[caption id="attachment_34313" align="aligncenter" width="750"] Makamu wa Rais Mhe. Samia Suluhu Hassan akisalimiana na Rais wa Jamhuri ya Demokrasia ya Watu wa Congo (DRC) Mhe. Joseph Kabila kabla ya kuanza kwa Mkutano wa Wakuu wa Nchi na Serikali wa Asasi ya Ushirikiano wa Siasa, Ulinzi na Usalama ya SADC (SADC Organ on Politics, Defence and Security) katika ukumbi wa Mikutano wa hoteli ya Safari Court Mjini Windhoek, Namibia, usiku wa Alhamisi Agosti 16, 2018[/caption]

Mipangilio
Marekebisho ya Mandhari
Marekebisho ya Maandishi